Kala kona

Kala kona Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kala kona, Digital creator, mbembelaa792@gmail. com, Morogoro.

15/01/2026
🚨MAMA NI MTU PEKEE AMBAYE ATAKUELEWA HATA UKIKOSEA✍️...Baada ya michezo wa Nigeria na Morroco kumalizika Kwa sare jambo ...
15/01/2026

🚨MAMA NI MTU PEKEE AMBAYE ATAKUELEWA HATA UKIKOSEA

✍️...Baada ya michezo wa Nigeria na Morroco kumalizika Kwa sare jambo lililopekea changamotozo za mikwaju ya Penalty

🏅 Mchezaji wa Morroco Hamza Igamane alikosa penalty akakosa furaha kabisa.Lakini baada ya michezo kuisha Mama yake alipata nafasi ya kuhojiwa akasema "Baada ya mwanangu kukosa penalty nilijisikia vibaya ila niliongeza kuomba Dua ili wengine wanaofuta wasikose lakini pia nimemuombea Dua mwanangu afanye vizuri zaidi wakati mwingine"

🏅Lakini Alifurahi sana baada ya Yassine Bounou kuokoa penalti ya kwanza, na matumaini yakamrudia tena.

🏅Tukio lililovutia zaidi ni Baada ya Ushindi wa Morroco Igamane aliwaacha wachezaji wenzake akaenda moja kwa moja kusherehekea ushindi huo pamoja na mama yake

📌Kwa mtazamo wako umeonaje kisa hiki.....

Senegal ana kazi ya kufanya tar18 kombe haliendi mahali Niko paleee.....Team Morocco hatuzungumzii ushabiki Wala CHUKI N...
14/01/2026

Senegal ana kazi ya kufanya tar18 kombe haliendi mahali Niko paleee.....
Team Morocco hatuzungumzii ushabiki Wala CHUKI NA WAARABU
Huo ndo uhalisia.....

02/12/2025

M twn....

02/12/2025

Address

Mbembelaa792@gmail. Com
Morogoro
9183

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kala kona posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share