ZETU NEWs zinazobamba

  • Home
  • ZETU NEWs zinazobamba
Call Contact the business

ZETU NEWs zinazobamba Kwa matukio motomoto 🌍🌎🌏

14/03/2026

Embu tuwekane sawa kipi hapa kinachomtafuta mwezake

pesa inamtafuta elemu au elimu inamtafuta pesa 🤷

Wale mliokuwa mnasubiria update haya mzigo ushaachiwa huko playstore ni mwendo wa kwenda miano ila WANDA 🙌🙌🙌
07/03/2026

Wale mliokuwa mnasubiria update haya mzigo ushaachiwa huko playstore ni mwendo wa kwenda miano ila WANDA 🙌🙌🙌

Channel pendwa kwa wasiolipia kisembuzi 😀😀😀Je unajua historiya yake ilipoanzishwa ? ,yes ungananamiHISTORIYA KWA HUFUPI ...
23/02/2026

Channel pendwa kwa wasiolipia kisembuzi 😀😀😀
Je unajua historiya yake ilipoanzishwa ? ,yes ungananami

HISTORIYA KWA HUFUPI

Tanzania Safari Channel ni chaneli iliyo chini ya Televisheni ya Taifa ya Tanzania (TBC) iliyoanzishwa kwa lengo la kutangaza hifadhi na vivutio vya utalii nchini Tanzania.[1]

Tanzania Safari Channel
Nembo ya Tanzania Safari Channel
Nembo ya Tanzania Safari Channel
Kutoka mji
Dar es salaam
Nchi
Tanzania
Eneo la utangazaji
Kote duniani
Kituo kilianzishwa mwaka
2018
Mwenye kituo
Televisheni ya Taifa ya Tanzania
Tovuti
tanzaniasafarichannel.go.tz
Tanzania Safari ilizinduliwa tarehe 15 Disemba 2018 [2][3] na waziri mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa.

Historia
hariri
Ilianzishwa ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais John Magufuli alilolitoa alipozuru makao makuu ya shirika hilo Mei 16, 2019 ambapo aliagiza kuwepo kwa chaneli hiyo itakayokuwa inaonyesha vivutio vya utalii.[4]

Chaneli hii ilianzishwa kwa ushirikiano wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) na wadau wengine wa utalii wakiwemo Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB).

Mchakato wa kuanzisha chaneli hii ulihusisha pia mikutano na wadau wa sekta binafsi ambao shughuli zao zinahusiana na masuala ya utalii.

Chaneli hii inapatikana kwenye ving'amuzi mbalimbali ikiwa ni pamoja na StarTimes na Azam TV.

TUMERISISHWA TUWARISISHE

Hawa TFF tena wametokea wapi !?
22/02/2026

Hawa TFF tena wametokea wapi !?

Leoleo kazi ipo leo hivi kati mnyama  simba zidi ya wajelajela au yanga watoto wa jangwani  zidi ya wamakonde nani leo a...
21/02/2026

Leoleo kazi ipo leo hivi kati mnyama simba zidi ya wajelajela au yanga watoto wa jangwani zidi ya wamakonde nani leo atadondosha point au kuramba sale hahaha kumbuka vigogo hawa wa karia-koo wote wapo ugenini yaani kimeumana drop comment yako chini

Hi ni kwaajili ya kupashana habari na matukio yanayotokea kila siku contact as +255781417091 for more detils
21/02/2026

Hi ni kwaajili ya kupashana habari na matukio yanayotokea kila siku contact as +255781417091 for more detils

Address

Mkambarani 131 ,Morogoro

Telephone

+255781417091

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ZETU NEWs zinazobamba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to ZETU NEWs zinazobamba:

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed media company?

Share