Hekah jr

Hekah jr educative, entertainment

28/07/2026
Katika Maisha Haya Tutapoteza Mara Nyingi Kabla Ya Kushinda.Hii ndo Sheria Ya Dunia. Ushindi Hauji Bila Maumivu .Hukiona...
13/04/2026

Katika Maisha Haya Tutapoteza Mara Nyingi Kabla Ya Kushinda.

Hii ndo Sheria Ya Dunia. Ushindi Hauji Bila Maumivu .

Hukiona Unaanguka, Ujue Unakaribia Kusimama Imara Zaidi.

Be strong, trust the process.

Miaka kadhaa hapo nyuma nilikuwa na mpenzi wangu niliempenda Sana, tuliishi vizuri tu. Muda Fulani ivi akaondoka sehem n...
14/03/2026

Miaka kadhaa hapo nyuma nilikuwa na mpenzi wangu niliempenda Sana, tuliishi vizuri tu. Muda Fulani ivi akaondoka sehem niliyokuwa nakaa Mimi akaenda sehem nyingine kwaajili ya mishe fulan za kwake alikaa huko kwa miezi kadhaa, nilikuwa naenda mara kadhaa kumtembelea. kuna mwanangu mmoja nae alikuwa anakaa sehemu hiyohiyo ambayo manzi wangu alikuwa anakaa. siku moja yule mwanangu akanicheki na kuniomba nimutembelee, nikatafuta weekend moja nikaenda kumuona mwana. lakini nilimwambia mshikaji wangu Mimi nitaenda kulala kwa manzi wangu ,mwana nae kasema usijal maana hata Mimi nina manzi wangu nitakuw nae kwangu. siku naenda sikumpa taarifa manzi wangu, nilipanga nikifika ndio nimcheki,nikafika nyumbani kwa mshikaji wangu,mida Fulani ivi tukatoka kwenda sehemu tukapoa pale huku tukisubri jikoni kuwe sawa. Tukiwa pale mshikaji wangu akatoa wazo , tufanye mpango mademu zetu wasogee ili tujumuike wote. basi bhna me nikamcheki manzi wangu nikamwambia nipo maeneo yenu fanya mpango uje sehem fulan , akasema hayupo ametoka mara moja ila kesho yake angerudi. Na mshikaji wangu akamcheki manzi wake akamwambia aibuke maeneo manzi akasema saw na atafika baada ya lisaa limoja. punde si punde manzi wa mshikaji wangu akaibuka pale guess what!!! yule manzi wangu aliesema ametoka ndie alieibuka pale na ndie demu wa mshikaji wangu.
‎
‎Nilichoka mimi,, unajua nini kilitokea.. ...
‎

😂😂
25/02/2026

😂😂

Address

Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hekah jr posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share