27/08/2026
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Watoto wa Kiume kwa sasa wapo hatarini na amewataka Watanzania kuzingatia ulinzi wa Watoto wote.
Waziri Mkuu Mwigulu ameyasema hayo leo Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Katavi, Thomas Kampala kuhusu vitendo vya usagaji na ushoga.
“Nitumie Bunge lako Tukufu, niwaombe watanzania kwamba sasa tuwazingatie watoto wote, hata watoto wa kiume kwa sasa wako hatarini sana, na pengine hatari ambayo wanaipata watoto wa kiume kwa sasa inaweza ikawa kubwa kuliko hata lile tulilokuwa tunaliona tatizo kwa watoto wa kike…”- Waziri Mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba.
Usisahau kutufuatilia kwenye mitandao yetu
Facebook:
Instagram:
youtube:
Sikiliza kwa Masafa ya,
|105.9 FM Kilimanjaro
|100.3 FM Morogoro
|98.3 Arusha/Manyara
|103.5 Shinyanga/Kahama
online radio .radio12345.com
radio box .tanakhfm.com
Usiache kutufatilia na ku follow ukurasa wetu kwa habari na matukio mbali mbali yanayojiri kila pande ya dunia