Mpandaradiofm97.0

Mpandaradiofm97.0 Mpanda Radio Fm. 97.0. IPO mkoani Katavi mjini mpanda eneo la Mpanda hotel viwandani. Ilianzishwa mwaka 2013. Radio y a kijamii

20/02/2026

UTASHANGAA !! MAOFISA WAOMBEWA MSAMAHA MFUNGO WATAJWA.

29/01/2026

MABILIONI YA FEDHA KUTOLEWA, UTUNZAJI WA MAZINGIRA

Usikose kusikiliza Kumekucha Tz hapo kesho wageni na wenyeji hii ni Katavi na MPANDA Radio Fm ni Sauti ya Katavi online ...
07/12/2025

Usikose kusikiliza Kumekucha Tz hapo kesho wageni na wenyeji hii ni Katavi na MPANDA Radio Fm ni Sauti ya Katavi online tunasikika kupitia radiotadio.co.tz/mpandafm/
Beny Gadau Anna Millanzi Millanzi Restuta Nyondo Eliakim Hakimu Sadock Tanzania ECD Network Samwel D Mbugi Wizara ya Afya Tanzania

Vikao vya familia husaidia kutatua migogoro
28/11/2025

Vikao vya familia husaidia kutatua migogoro

Novemba 28, 2025 Afisa ustawi manispaa ya mpanda Anyulumye Longo. Picha na Leah Kamala Na Leah Kamala Baadhi ya wananchi wa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameitaka jamii kujenga mazoea ya kukaa na kuzungumza katika vikao  vya  familia. Wakizungumza na mpanda radio FM wananchi hao wameeleza kuwa...

Jukwaa la wadau wa alizeti
28/11/2025

Jukwaa la wadau wa alizeti

Novemba 28, 2025 Picha ya pamoja ya wadau wa jukwaa la zao la alizeti. Picha na Restuta Nyondo Na Restuta Nyondo Kuanzishwa kwa jukwaa la wadau wa zao la alizeti mkoani Katavi kunatajwa k**a mwanzo wa utatuzi wa uhakika kwa baadhi ya changamoto zinazokabili kilimo cha zao hilo. Akizungumza na Mpanda...

Ccm yampa Ridhaa ya kupeperusha bendera Mpanda Mjini Sumrry.   Ccm Daima ChamachaMapinduzidiaspora Ccm
23/08/2025

Ccm yampa Ridhaa ya kupeperusha bendera Mpanda Mjini Sumrry. Ccm Daima ChamachaMapinduzidiaspora Ccm

17/08/2025

MAJINA YA WALIOTEULIWA KUWANIA UDIWANI KUPITIA CCM KATAVI

Mtoto mchanga anayekadiriwa kuwa na umri wa siku moja mweye jinsi ya k**e ameokotwa kwenye choo cha shule ya msingi Kash...
12/08/2025

Mtoto mchanga anayekadiriwa kuwa na umri wa siku moja mweye jinsi ya k**e ameokotwa kwenye choo cha shule ya msingi Kashato manispaa ya Mpanda mkoa wa Katavi.

Wananchi waliofika kushuhudia tukio hilo wamesema eneo hilo limekuwa likitumika vibaya na matukio k**a hayo ambayo yamekuwa yakijirudia mara kwa mara ambapo wameiomba serikali kuweka uzio katika shule hiyo.

Mwenyekiti wa mtaa Buzogwe Lauresia Sanga amesema kuwa amepata tarifa kutoka kwa askari wa jeshi la ukoaji wakimtaka kufika eneo hilo wakidhani ni eneo ambalo analisimamia ili kufika kutoa ushirikiano.

Mwenyekiti wa mtaa wa Kigoma kata ya Makanyagio Athumani Lubwe amesema kuwa tukio hilo ni la tatu kutokea kwa miaka ya hivi karibuni hivyo ametoa rai kwa wadau mbalimbali kusaidia kuweka milango katika vyoo hivyo ili kusaidia kupunguza matukio k**a hayo.

Hata hivyo jitihada za kumtafuta k**anda wa jeshi la polisi mkoa wa Katavi zinaendelea ili kutolea ufafanuzi wa tukio hilo ambalo linaonyesha kuwa ni tukio la tatu kwa hivi karibuni

Listening to Mpanda Radiofm any where
04/07/2025

Listening to Mpanda Radiofm any where

Sauti ya Katavi

Ukiacha penalty na kadi nyekundu dhidi ya Mashujaa Leo Refa dhidi ya JKT kakosea wapi mechi za Simba?Tupo live muda huu ...
05/05/2025

Ukiacha penalty na kadi nyekundu dhidi ya Mashujaa Leo Refa dhidi ya JKT kakosea wapi mechi za Simba?
Tupo live muda huu kupitia radiotadio.co.tz/Mpandafm/ na 97.0 Fm kutoka Katavi Kwa Pinda🔥🔥🔥
Tbl Tanzania Tanzania Football Federation Simba SC Tanzania Yas Tanzania YANGA DAMU

Midundo Moto inaenda kuwaka waiteni Fire mapema maana Wikiend ndio hii sasa unyama wote kupitia radiotadio.co.tz/Mpandaf...
25/04/2025

Midundo Moto inaenda kuwaka waiteni Fire mapema maana Wikiend ndio hii sasa unyama wote kupitia radiotadio.co.tz/Mpandafm/

Address

Mpanda Hotel
Mpanda
MPANDARADIO97.0

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mpandaradiofm97.0 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category