Phinu Media

Phinu Media PHINU MEDIA OFFICIAL PAGE. [email protected]
www.phinumedia.co.tz
Tell: +255794880088, +255792770088, +255749616975, +255749684162.

P.O BOX 137 MPANDA - KATAVI

16/04/2026

15/04/2026

Park

https://youtu.be/3XPg0SjEWbA?si=dm0itS-uca420kYDWANANCHI WALIHISI SERIKALI HAIWAJALI,WALIKATA TAMAA, ILA LEO HAWANA LA K...
11/03/2026

https://youtu.be/3XPg0SjEWbA?si=dm0itS-uca420kYD

WANANCHI WALIHISI SERIKALI HAIWAJALI,WALIKATA TAMAA, ILA LEO HAWANA LA KUSEMA ZAIDI YAKUMSIFU MHE Dr SAMIA SULUHU HASSAN RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANI

Mchawi Subscribe our YouTube channel for more DramaClam VEVOBoss mchawi / 28 /...

PHINU ACADEMIC SHOWDOWNKatika Mashindano haya Mwangaza Secondary walishindwa na walipewa kinyago ambacho kilikuwa na uju...
06/03/2026

PHINU ACADEMIC SHOWDOWN
Katika Mashindano haya Mwangaza Secondary walishindwa na walipewa kinyago ambacho kilikuwa na ujumbe ‘’Defeated but don’t give up, try again and comeback stronger’’ ikiwa na maana ‘’Umeshindwa, lakini usikate tamaa jaribu tena na urudi ukiwa na nguvu zaidi."

PHINU ACADEMIC SHOWDOWNShule ya Mpanda day baada ya kuibuka na ushindi walipata Zawadi mbalimbali za kitaaluma ambazo zi...
06/03/2026

PHINU ACADEMIC SHOWDOWN
Shule ya Mpanda day baada ya kuibuka na ushindi walipata Zawadi mbalimbali za kitaaluma ambazo zitawasaidia katika masomo yao Zawadi hizo zikiwemo madaftari, kalamu,mkebe, rimu, chaki, mwamvuli n.k

Ni mdahalo ulio ibua hisia za wanafunzi kitaaluma ambapo ulihusisha shule mbili kati ya Mwangaza  secondary na Mpanda da...
06/03/2026

Ni mdahalo ulio ibua hisia za wanafunzi kitaaluma ambapo ulihusisha shule mbili kati ya Mwangaza secondary na Mpanda day secondary, mdahalo huo pia uliusisha vidato viwili, yaani kidato cha kwanza na kidato cha tatu ambapo tukio hilo lilifanyika katika viwanja vya shule ya secondary Mpanda day na shule hiyo ndiyo iliyoibuka kuwa washindi wa mdahalo huo na kupokea Zawadi mbali mbali zilizo andaliwa kwaajili ya tukio hilo.

Address

Kawajense
Mpanda
50100

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Phinu Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Phinu Media:

Share