JICHO

JICHO DONDOO ZA MAISHA KILA SIKU

10/08/2026

📌Mtaji wa maskini ni nguvu yake mwenyewe,,,hivyo pambana Bila kukata tamaa ,,wakitaka kukusaidia wakukute tayari upo kwenye mstari wa vitendo🦩👍📝

JICHO la mwewe 👁️
👁️Actions speak louder than words

09/08/2026

📌Tunakoenda tunapajua ila njia sio safi kutuwezesha kufika kwa urahisi
Eh Mola utembee nasi siku zote


Follow the page Pol_Osa

JICHO la mwewe 👁️

02/08/2026

📌 Deep feeling,,moyo wa upendo wa ndani kabisa

02/08/2026

📌Take your friends out sometimes it is psychotherapy
📌Toka na marafiki mara nyingine ni Tiba kitaalamu
📍

02/08/2026

📌Tag the location

👁️La mwewe

@📌 maisha Bila kuzungusha pedeli hayawezi Songa mbeleAkili ni ubongo🍚
01/08/2026

@📌 maisha Bila kuzungusha pedeli hayawezi Songa mbele

Akili ni ubongo🍚

📍Mchagua jembe sio mkulima
24/07/2026

📍Mchagua jembe sio mkulima

⚽Mama yetu ndiye anayepambana kwa ajili yetu kila uchwao ili tupate chochote tumboni,,😭🕊️Mama asipokuwepo nyumbani au ak...
19/07/2026

⚽Mama yetu ndiye anayepambana kwa ajili yetu kila uchwao ili tupate chochote tumboni,,😭🕊️
Mama asipokuwepo nyumbani au akiumwa machozi huwa yanatutoka sana kiasi kwamba mbele tunaona giza kuliko mwanga,,,,heshima kwa mama zetu kwa wale ambapo mama zetu ndio nguzo za familia 💯
We love you mama💖💖
📍Unapokata tamaa kumbuka mama yako hakukatq tamaa na ndio mana upo hapo leo🙌🍎🦩🦩

📌Chukua dakika chache kumwombea mama🤲🤲

📍🛳️
13/07/2026

📍🛳️

13/07/2026

Address

Mbawala
Mtwara

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JICHO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share