INFO Radio 92.1 Mtwara

INFO Radio 92.1 Mtwara siku zote tunazidi kawaida

Midundo ya pwani iko hewani sasa leo ni enzi zilee taarabu changua nyimbo ya zamani ya taarabu uisikilize hapa ufurahi n...
25/09/2013

Midundo ya pwani iko hewani sasa leo ni enzi zilee taarabu changua nyimbo ya zamani ya taarabu uisikilize hapa ufurahi na mrushane roho ....www.inforadio921.com kwa dunia nzima na 92.1fm kwa mikoa ya Mtwara na Lindi...karibu

Info Radio FM stereo Ltd is registered and licenced by TCRA, broadcasting on 24 hours at 92.1 MHz covering the whole area of Mtwara District including neighbouring District specifically Masasi, Newala, Nanyumbu, Tandahimba, Nachingwea, Ruangwa and other ruralareas in Lindi, Kilwa and Tunduru Distric...

07/08/2013

Mfungo wa Mwezi mtukufu wa Ramadhani unaelekea ukingoni nini watu wamejifunza kutoka katika kipindi hiki cha mfungo huu wa mwezi wa ramadhani.....karibu kwa wakazi wa lindi na Mtwara isikilize kupitia 92.1fm na www.inforadio921.com kwa dunia nzima

06/08/2013

tukiwa kwenye wiki ya unyonyeshaji je mtoto anyonyeshwe mara baada tu ya kuzaliwa au mzazi asubiri kwanza kwa muda ndipo amnyonyeshe? karibu katika mjadala huu....92.1 fm lindi na mtwara na www.inforadi921.com kwa dunia nzima

06/08/2013

asubuhi bomba iko hewani kwa sasa elia , migongo,idrisa bandali na Albert Laizer mwendo huu ni mpaka saa tatu asubuhi ya leo karibu kwa mkazi wa mtwara na lindi tupate 92.1 fm na www.inforadio921.com kwa dunia nzima...karibu

17/07/2013

Kenya imepitisha sheria ukishindwa kumuoa uliyemuahidi unafunguliwa kesi mahakaman...sheria hii ikitua bongo mahakama zitajaa kesi...

14/07/2013

Hakuna taifa linalokosa utamaduni na kila kabila na utamaduni wake na yana asili yake pia ukisikia mipigo ya ngoma zake...sikiliza ngoma za asili hapa info radio jumapili hii kuanzia saa saba na nusu hadi nane kamili mchana na Hamisi Mvulla ...top Model 4x4..

17/06/2013

je mfumo wa vyama vingi umefanikiwa kwa kiasi gani hapa nchini?

13/06/2013

nini matarajio yako kwa bajeti ya mwaka huu inayowasilishwa leo?

10/06/2013

Mashrti yaliyo tolewa na mahakama ya hakimu mkazi mfawidhi yamemrudisha rumande mbunge wa mtwara mjini Asneni Murji hadi atakapo timiza masharti hayo ya dhamana .

Akisoma masharti ya dhaamana ya mbunge huyo Hakimu Madam Daines Limo baada ya kumsomea mbunge huyo sh*taka la uchochezi mnamo tarehe 19/1/2013 maeneo ya ligula alipofanya mkutano na kuongea na wananchi wa mtwara mjini maneno aliyo yatumia katika mkutano huo yalikuwa ni ya uchochezi na ndiyo yaliyo pelekea kufunguliwa sh*taka moja tu la uchochezi.

23/05/2013

tumesitisha matangazo yetu ili kupisha kurejea kwa hali ya amani mkoani mtwara kwa sasa na matukio yote yanayohusiana na vurugu hizi utayapata hapahapa kwa uhakika zaidi bila kuegemea upande wowote hakika wewe ni mtu muhimu kwetu

22/01/2013

Tunaomba radhi kwa kutokuwa hewani tangu jana usiku hii ni kutokana na marekebisho ya kuongeza usikivu wa kituo chetu..tutarejesha matangazo yetui baada ya saa chache zijazo ..siku zote tunazidi kawaida

02/01/2013

happy new year ...tumepumzisha mfululizo wa vipindi vya kawaida kwa sasa ni burudani pekee utakuwa unaisikiliza na tutaanza vipindi vyetu rasmi jumatatu ijayo....pole kwa usumbufu msikilizaji wetu ...

Address

P. O. Box 331
Mtwara

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when INFO Radio 92.1 Mtwara posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share