CCM MARA

CCM MARA UMOJA na USHINDI

24/08/2025
KARIBU KWENYE HARAMBEE
11/08/2025

KARIBU KWENYE HARAMBEE

πŸ‘
13/07/2025

πŸ‘

CCM MBELE KWA MBELE
29/06/2025

CCM MBELE KWA MBELE

πŸ”°πŸ”°
01/06/2025

πŸ”°πŸ”°

19/05/2025

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA SAMIA SULUHU HASSAN AMEBORESHA TAARIFA ZAKE KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KU...
17/05/2025

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA SAMIA SULUHU HASSAN AMEBORESHA TAARIFA ZAKE KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KWA MAAFISA WA TUME CHAMWINOπŸ“

*17 MEI, 2025*πŸ—“οΈ

Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan Mama wa Taifa katika picha Mhe. Rais akionesha kadi yake ya mpiga kura mara baada ya kushiriki zoezi la uboreshaji wa taarifa la kudumu la Mpiga kura Leo tarehe katika Ofisi ya Serikali ya Kijiji Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma.

Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Mama anatosha mitano tena, kazi iendelee.

KATIBU MKUU WA CCM ATAFANYA ZIARA MKOANI MARA KUANZIA TAREHE 22/04/2025 SIKU YA JUMANNE πŸ”°πŸ”°πŸ”°βœ… Katibu Mkuu wa Chama Cha Ma...
19/04/2025

KATIBU MKUU WA CCM ATAFANYA ZIARA MKOANI MARA KUANZIA TAREHE 22/04/2025 SIKU YA JUMANNE πŸ”°πŸ”°πŸ”°βœ…

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi, ataanza ziara ya siku tano mkoani Mara kuanzia Jumanne wiki ijayo, kukagua shughuli mbalimbali za chama hicho tawala.

Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Idara ya Siasa, Uenezi na Mafunzo CCM Mkoa wa Mara leo, Dkt Nchimbi atatembelea wilaya za Bunda, Musoma, Butiama, Rorya, Tarime na Serengeti.

Hii itakuwa ni ziara ya kawaida kwa kiongozi huyo kujionea utekelezaji wa ahadi zilizotolewa katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2020-2025.

Mkoa wa Mara ndipo alikozaliwa gwiji wa siasa Tanzania na barani Afrika, Mwalimu Julius Nyerere, ambaye aliendesha harakati za kuwang’oa wakoloni wa Kiingereza mwaka 1961.

Mkoa huo pia ndipo anakotoka Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira, ambaye tangu ujana wake amelitumikia taifa katika nyadhifa mbalimbali serikalini.

Kwa Dkt Nchimbi, hii itakuwa ni fursa yake nyingine kuutembelea mkoa wa Mara k**a Makamu wa Rais mtarajiwa baada ya Mkutano Mkuu wa CCM kumteua mapema mwa huu kuwa mgombea mwenza wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu wa 2025.

Hongera sana, nafasi imepata mwenyewe
19/01/2025

Hongera sana, nafasi imepata mwenyewe

Address

Musoma

Telephone

+255624203541

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CCM MARA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share