JimboNews

JimboNews Follow page yetu kwa habar na matukio mbalimbali, ulipo tupo popote ulimwenguni

Rais wa zamani wa Congo ahukumiwa kifo kwa uhalifu wa kivita
02/10/2025

Rais wa zamani wa Congo ahukumiwa kifo kwa uhalifu wa kivita

Daah!! Happy Birthday  ๐Ÿ”ฅ๐ŸŽ‚๐Ÿ”ฅ
02/10/2025

Daah!! Happy Birthday ๐Ÿ”ฅ๐ŸŽ‚๐Ÿ”ฅ

Mahak**a ya kijeshi Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, leo Septemba 30 imemuhukumu aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo Jos...
01/10/2025

Mahak**a ya kijeshi Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, leo Septemba 30 imemuhukumu aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo Joseph Kabila adhabu ya kifo baada ya kupatikana na hatia ya uasi na makosa mengine kadhaa.

Mwendesha mashtaka wa Serikali aliiomba Mahak**a itoe hukumu ya kifo dhidi yake baada ya Serikali kumtuhumu Kabila kwa kushirikiana na Rwanda pamoja na Waasi wa kundi la M23 kuteka Miji muhimu ya Mashariki mwa Congo kupitia mashambulizi ya ghafla na hadi sasa wanaendelea kuishikilia.

Kabila ambaye amekuwa akishtakiwa kwa njia ya kutohudhuria tangu Julai huku akiwa hajulikani alipo, alikabiliwa na mashtaka ya uhaini, kushiriki katika harakati za uasi, kula njama na kusaidia vitendo vya kigaidi japokuwa mwenyewe amekuwa akikana vikali tuhuma hizo.

Mnamo mwezi wa tano mwaka 2025 Seneti ya Congo ilipitisha uamuzi wa kuondoa kinga ya kisheria aliyokuwa akiifurahia Rais Mstaafu Joseph Kabila kitendo ambacho alikikosa vikali na kukielezea k**a ni kitendo cha kidikteta.

Joseph Kabila alikuwa akiishi nje ya Nchi kwa hiari yake mwenyewe lakini aliripotiwa kurejea Mjini Goma mwezi wa nne mwaka 2025 ambapo Goma ni miongoni mwa Miji inayodhibitiwa na Waasi wa M23 ambapo kwa sasa haijulikani k**a bado yupo Goma ama la.

Kumekucha๐Ÿซต๐Ÿ˜
01/10/2025

Kumekucha๐Ÿซต๐Ÿ˜

Nandy kupitia ukurasa wake wa Instagram ameshare post akiwauliza mashabiki zake kuhusu mziki wake ni kipi kinawavutia   ...
01/10/2025

Nandy kupitia ukurasa wake wa Instagram ameshare post akiwauliza mashabiki zake kuhusu mziki wake ni kipi kinawavutia

Pia amesema yeye ni mjamzito Kwa Sasa msishangae tumbo lake ana mapacha

๐Ÿ•ณ๏ธNdo mana visirani haviishi na baba naya๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ

Je unamfaamu Genaral Byamungu  uyu ndiye mpaganaji mkuu kwenye kundi la AFC /M23 ambaye kipindi cha serekali ya Joseph k...
01/10/2025

Je unamfaamu Genaral Byamungu uyu ndiye mpaganaji mkuu kwenye kundi la AFC /M23 ambaye kipindi cha serekali ya Joseph kabila halifanya kazi kwenye maeneo ya uvira , Fizi , mwenga , hata hivyo aliwai kuwa General tegemezi kwenye mji wa uvira

Uyu ndiye alisababisha miji ya k**anyola , na Bukavu kushikwa kwa maana ni mzoefu wa mikowa ya Sud kivu. Mswahili

Mswahili

KULIKONI JAMANI MBONA K**A NASIKIA HARUFU YA WINO ๐Ÿ˜…Kwenye ukurasa wake wa Instagram msanii wa muziki nchini ibra amepost...
30/09/2025

KULIKONI JAMANI MBONA K**A NASIKIA HARUFU YA WINO ๐Ÿ˜…

Kwenye ukurasa wake wa Instagram msanii wa muziki nchini ibra amepost picha ya Diamond platinum na kuweka caption ya "Asante ๐Ÿ™" Bado mpaka Sasa haijajulikana Kuna kitu gani kinaendelea kati Yao, Na Diamond pia akukaa kimya alimjibu kwenye comment "kadabra, zlatan"

Je unadhani Kuna kipi kinaendelea kati Yao??

Watu wanapenda kusifia kila kitu hata k**a kibovu kisa kafanya staa, inawezekana ni kweli wewe ni shabiki lialia wa Diam...
30/09/2025

Watu wanapenda kusifia kila kitu hata k**a kibovu kisa kafanya staa, inawezekana ni kweli wewe ni shabiki lialia wa Diamond lakini ukweli inabidi usemwe kwamba wimbo ni wakawaida sana hauna maajabu kinacho fanya uusikie ni kwasababu kaimba Diamond ila uhalisia wa mambo wimbo ni wakawaida sana kwenye video ndio amenyoosha sana amefanya video kali sana.

Address

Mwandiga
2850

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JimboNews posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share