
24/12/2024
๐จโผ๏ธ Hadithi ya Michael Jackson
Nyimbo za Michael Jackson umezalisha zaidi ya DOLA BILIONI 4 katika kipindi cha miaka 15 tangu kifo chake kilichotokea mnamo mwaka 2009..!!!!!
Mnamo mwaka 2024 pekee, Michael ndiye msanii pekee aliyepata faida kubwa zaidi akiwa marehemu, Akiwa amepata Zaidi ya Dola milioni 600 kutoka kwa orodha yake ya muziki ndani ya miezi 12 tu. ๐ณ
Bado ana wasikilizaji zaidi ya milioni 45 kila mwezi kwenye Spotify..!!!!!
Toa maoni yako hapa___________________________