D.MO News

D.MO News Sports news

Simba Sc waanza kula vipolo leo dhidi ya dodoma jiji
04/02/2021

Simba Sc waanza kula vipolo leo dhidi ya dodoma jiji

Azam waichapa KMC mabao 3-1 kwenye  mchenzo wa kirafiki uliyochenzwa leo.
30/01/2021

Azam waichapa KMC mabao 3-1 kwenye mchenzo wa kirafiki uliyochenzwa leo.

Mshambuliaji wa Yanga Fiston Abdul razak amewasili tayar kwa kuyaanza majukumu yake ndani ya Yanga
29/01/2021

Mshambuliaji wa Yanga Fiston Abdul razak amewasili tayar kwa kuyaanza majukumu yake ndani ya Yanga

Yanga sc imemtambulisha rasmi kocha wa viungo Edem mortotsi raia wa Ghana na Sasa Ni mwananchi kamili
27/01/2021

Yanga sc imemtambulisha rasmi kocha wa viungo Edem mortotsi raia wa Ghana na Sasa Ni mwananchi kamili

MATCH DAYSimba super cup,Mkapa stadium
27/01/2021

MATCH DAY
Simba super cup,
Mkapa stadium

Chelsea the blues wame mtambulisha Thomas Tuchel kua boss mpya akiwa na record nzuri akiwa amechenza michenzo 127 na kus...
27/01/2021

Chelsea the blues wame mtambulisha Thomas Tuchel kua boss mpya akiwa na record nzuri akiwa amechenza michenzo 127 na kushinda michenzo-94; na kutoa sale.14 Na kupotenza michenzo..19

Southampton Fc amepokea kichapo kikali Cha 3-1 kutoka kwa arsenal Fc
27/01/2021

Southampton Fc amepokea kichapo kikali
Cha 3-1 kutoka kwa arsenal Fc

Mbwana Alli Samata akinukisha uko uturuki baada ya Jana kufumania nyavu mala moja na kufanya idadi ya magoli 3-0 zidhi y...
27/01/2021

Mbwana Alli Samata akinukisha uko uturuki baada ya Jana kufumania nyavu mala moja na kufanya idadi ya magoli 3-0 zidhi ya kayserspor
Nakufikisha magoli 3 kwenye mechi 4 alizo zichenza!!!

27/01/2021

Morocco na Rwanda wamefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali
Baada ya Morocco kumtoa kimasomaso Uganda wakati Rwanda nae akimtandika kipigo Cha 3-2 Tongo

Timu ya mtibwa sukari ikifanya mazoezi ya kujiweka sawa na kujiandaa kwa mechi za mzunguko wa pili wakiwa na Nia ya kuma...
27/01/2021

Timu ya mtibwa sukari ikifanya mazoezi ya kujiweka sawa na kujiandaa kwa mechi za mzunguko wa pili wakiwa na Nia ya kumaliza ligi wakiwa kwenye nafasi nzuri na kuthibitisha ilo wamemuongeza Kelvin Sabato kwenye nafasi ya ushambuliaji katika dirisha dogo la usajili.

Jose Mourinho leo ametimiza umri wa miaka 58 ambapo alizaliwa mwaka 1963/01/26  birthday to you Jose Mourinho
26/01/2021

Jose Mourinho leo ametimiza umri wa miaka 58 ambapo alizaliwa mwaka 1963/01/26
birthday to you Jose Mourinho

Address

Igoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when D.MO News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share