Lenard Jovini

Lenard Jovini Kabla hujanichukia jiulize una msaada Gani kwangu
(2)

Mbona Kila siku mnahagaika kutafuta mtu wa kufananisha na pacome Bado hamjampata tu Hadi morce nae mhuuuuuu!!!
13/11/2025

Mbona Kila siku mnahagaika kutafuta mtu wa kufananisha na pacome Bado hamjampata tu Hadi morce nae mhuuuuuu!!!

Nakubaliana na wote mnaosema kiwango cha Yanga kimeshuka hata mimi naona hivyo kwa macho yangu ila tujiulize ni timu gan...
12/11/2025

Nakubaliana na wote mnaosema kiwango cha Yanga kimeshuka hata mimi naona hivyo kwa macho yangu ila tujiulize ni timu gani nchini inacheza vizuri kuliko Yanga hii ambayo imeshuka kiwango?

Binafsi nadhani tunaihukumu hii Yanga kupitia Yanga ya misimu minne nyuma…..yani Yanga hii tunaishindanisha na Yanga ya misimu minne au mitatu ya nyuma na siyo timu nyingine nchini…..huo ndo ukweli🖐️

YANGA WAMEIUA KMC DAKIKA ZA MWISHO.FULL TIMEYanga SC 4️⃣ 🆚️ Kmc FC 1️⃣
09/11/2025

YANGA WAMEIUA KMC DAKIKA ZA MWISHO.
FULL TIME

Yanga SC 4️⃣ 🆚️ Kmc FC 1️⃣

Kuna mashabiki wa simba mpaka leo wanalalamika goli la pacome kwenye mechi na simba ilikuwa ni offside ila leo wanashang...
08/11/2025

Kuna mashabiki wa simba mpaka leo wanalalamika goli la pacome kwenye mechi na simba ilikuwa ni offside ila leo wanashangilia kua sio offside dah nchi ngumu hiii

🗣"Pacome anakimbia na mpira ila mwisho wa siku hafanyi vitu vya msingi, kwamba ukikimbia na mpira tunategemea uassist , ...
08/11/2025

🗣"Pacome anakimbia na mpira ila mwisho wa siku hafanyi vitu vya msingi, kwamba ukikimbia na mpira tunategemea uassist , tunategemea ufunge, Pacome hafungi sana na ha assist sana, ila Ahoua anafunga sana na anaassist sana,maana yake ukifanya comparison ya nani kiungo bora mwenye uwezo wa kuamua matokeo ya timu, ni bora kuliko "

07/11/2025
PIGO KWA YANGA Upo uwezekano mlinda mlango wa Klabu ya Yanga, Djiguir Diarra akafungiwa mizunguko mitano ya NBCPL iliele...
07/11/2025

PIGO KWA YANGA
Upo uwezekano mlinda mlango wa Klabu ya Yanga, Djiguir Diarra akafungiwa mizunguko mitano ya NBCPL ilielezwa kuwa atakutana na adhabu hiyo baada ya kuonekana akimsukuma mchezaji wa Mtibwa Sugar ,Omar marungu kwenye mchezo ambao Wananchi waliibuka na ushindi wa bao 2-0.
Iwapo Diarra atafungiwa ataikosa Derby ya Kariakoo itakayopigwa Disemba 13,2025.
Mechi mbili za Yanga kabla ya Derby ni dhidi ya KMC Novemba 9 na dhidi ya Coastal Union ya Tanga Disemba 10,2025!

07/11/2025

Kumbu kumbu isiyo sahaulika

MPIGIE KURA MZIZE  Popote ulipo mwananchi mtanzania mwenzetu,ndugu yetu kijawa wetu Clement Mzize ameingia kwenye kinyan...
06/11/2025

MPIGIE KURA MZIZE Popote ulipo mwananchi mtanzania mwenzetu,ndugu yetu kijawa wetu Clement Mzize ameingia kwenye kinyang'anyiro cha kuwania tuzo ya Goli bora la mwaka CAF 2024-2025.
Goli la Mzize dhidi ya Tp mazembe "Benjamin William Mkapa Stadium "tunataka Wananchi tuone linaleta tuzo nchini Tanzania.
https://cafawardsgoty.com/

Huyu hapa ni Babacar Sarr🇸🇳 nyota wa zamani wa Simba na nyota wa sasa wa Js Kabylie ya Algeria.🇩🇿Mwamba kipindi fulani h...
06/11/2025

Huyu hapa ni Babacar Sarr🇸🇳 nyota wa zamani wa Simba na nyota wa sasa wa Js Kabylie ya Algeria.🇩🇿

Mwamba kipindi fulani hivi alikuja Tanzania kujitafuta akiwa na Simba lakini mambo hayakuenda sawa kwa upande wake kipindi kile na alishindwa kujipata kwa wakati ule.

Lakini hivi sasa mwamba amejipata kwenye ardhi ya Waalgeria na anauwasha kisawasawa huko ni panga pangua kwenye first eleven ya Js Kabylie.

Na hivi karibuni Babacar atarejea tena kwenye ardhi ya Tanzania akiwa na timu yake kwa ajili ya mchezo wa makundi ya CAFCL dhidi ya Yanga

TAARIFA RASMI: Klabu ya Yanga SC imethibitisha kuwa itacheza mechi zake za nyumbani katika michuano ya Ligi ya Mabingwa ...
06/11/2025

TAARIFA RASMI: Klabu ya Yanga SC imethibitisha kuwa itacheza mechi zake za nyumbani katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) msimu wa 2025/26 visiwani Zanzibar.

Tarehe ya mwisho ya kuwasilisha viwanja kwa CAF imefungwa rasmi, na vilabu vyote vimewasilisha uwanja vitakavyotumia.

Yanga imechagua Zanzibar k**a makao yake ya nyumbani, ambapo itawakaribisha Al Ahly, AS FAR, na JS Kabylie katika dimba la visiwani humo.

🌴✨ Usiku mkubwa wa soka la Afrika unahamia Zanzibar!

AZIZ KI UMEENDELEA KUWAPA FURAHA WAARAB
05/11/2025

AZIZ KI UMEENDELEA KUWAPA FURAHA WAARAB

Address

Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lenard Jovini posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Lenard Jovini:

Share