BINA TV

BINA TV BINA TV Is a media for bring up break news around the world including Tanzania, Kindly Join with us for more updates. Stay tune.
(1)

Its in a none political and religious ethics, is all about news around the world

13/11/2025

Unampa asilimia ngapi King'amuzi kwenye kuimba ?

Full Interview ipo Youtube Bina Tv .

13/11/2025

King'amuzi hajawahi kabisa kuwa na mchumba jamani anatafuta mpenzi ila awe na shepu amedai wanawake wembamba sio mambo yake hapendi kabisa .

13/11/2025

Diamond amuone kijana ana kipaji kikubwa kabisa kaonesha uwezo wake wa kuimba kwenye Kuna na Amelowa ya Harmonize apewe tu sikio .

Full Interview ipo Youtube Bina Tv .

13/11/2025

Muite Mbosso KIng'amuzi hapa anaipiga Pawa live kabisa .

Full video ipo Youtube Bina Tv .

13/11/2025

Hizi hapa sababu za king'amuzi kuja Dar na lori full video tembelea channel yetu ya bina tv

13/11/2025

Msanii wa comedian king'amuzi anasema sasahivi milo mitatu uhakika lakini pia analala sehemu nzuri sana

Full video tembelea channel yetu ya bina tv

13/11/2025

Tumefanya mahojiano na King'amuzi ambaye amefika hivi karibuni hapa Dar es salaam anadai kuwa kilichomleta Dar es salaam ni kufanya Collabo na Diamond na Harmonize .
Je atafanikiwa lengo lake ?

Full video ipo Youtube Bina Tv .

13/11/2025

"Nimejifunza kutokukata tamaa kupitia kwa baba levo" amezungumza chino Kidd

Full video tembelea bina tv YouTube

13/11/2025

Chino anasema kuwa tangu yupo mdogo hajawahi kuona wazazi wake wanapigana wala wakinywa pombe lakini pia amesema baba na mama wote wanakaa pamoja

13/11/2025

Chino kiddy anadai kuwa diamond platnumz kuwaita wasanii kenge yupo sawa kwa sababau amewaheshimisha sana wasanii wote wa Tanzania

Una maoni gani kwenye hili 🤣🤣🤣🙌

Address

Bugarika
Mwanza
NONE

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BINA TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share