Pamba Jiji FC Kenyan fans

Pamba Jiji FC Kenyan fans Pamba jiji FC fans from Kenya 🇰🇪

fans

13/05/2025

Gooooal
32'
Camara
KenGold 0 - 1 Pamba Jiji Football Club

08/05/2025

Tegiiiiiiiiiiisi!
5 - 1
Sio mbaya tumeharibu Cleen Sheet.

08/05/2025

hehe Tumenyoroshwa🙄

Warming up!
08/05/2025

Warming up!

Wauaji wa mnyama 🦁 hawa hapa! Tukutane KMC Complex.Tufollow sasa usipitwe na updates za mchezo.⌚ 16:00
08/05/2025

Wauaji wa mnyama 🦁 hawa hapa! Tukutane KMC Complex.

Tufollow sasa usipitwe na updates za mchezo.

⌚ 16:00

Tumefanywa🤣
14/04/2025

Tumefanywa🤣

FULL TIME!
Knocked out from . Hasira zote kwenye Ligi Kuu sasa.

14/04/2025

Tumefikiwa wakuu🤣🤣🤣

FTPamba 1 - 0 Tabora
05/04/2025

FT
Pamba 1 - 0 Tabora

11/03/2025

Kikosi kinachoanza leo dhidi ya Kiluvya FC. Mchezo unaanza saa 16:00 EAT hapa Jamhuri, Morogoro.

Tufollow sasa usipitwe na updates

TAARIFA KWA UMMALeo majira ya saa 05:00am Alfajiri Kikosi chetu kilichokuwa safarini kutoka Bukoba Mkoani Kagera kueleke...
09/03/2025

TAARIFA KWA UMMA

Leo majira ya saa 05:00am Alfajiri Kikosi chetu kilichokuwa safarini kutoka Bukoba Mkoani Kagera kuelekea Mkoani Morogoro kwa ajili ya mchezo wetu wa Kombe la CRDB Federation Cup Tarehe 11, Machi 2025 dhidi ya Kiluvya United, kimepata ajali ya gari Wilaya ya Bahi Mkoa wa Dodoma.

Chanzo Cha ajali hiyo ni kugongwa na Semi Truck kampuni ya Mwanza huduma na kupelekea mshtuko kwa wachezaji wetu na baadhi ya majeruhi.

Taarifa za kiusalama zinaendelea, na tutaendelea kuwajuza kitakochokuwa kinaendelea.

🙏🙏🙏

Tulikuwa tulambe hii sukari wakaeka sumu😭🙌FTKagera sugar 2 - 1 Pamba Jiji Football Club
07/03/2025

Tulikuwa tulambe hii sukari wakaeka sumu😭🙌
FT
Kagera sugar 2 - 1 Pamba Jiji Football Club

07/03/2025

Half Time ⌚!
Goli letu liliwekwa kimiani na yule yule Mathew Tegisi Momanyi 🔥. Tutarudi imara zaidi kipindi cha pili.

Address

Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pamba Jiji FC Kenyan fans posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Pamba Jiji FC Kenyan fans:

Share