Chemsha BONGO

Chemsha BONGO PATA HABARI MBALIMBALI MICHEZO, VICHEKESHO,VITUKO n.k

KAFARA AU GHARAMA 5 ZAKULIPA ILI UWE TAJIRI πŸ™Watu wengi wanafikiri utajiri ni bahati. Wengine wanafikiri ni kurithi. Lak...
06/03/2026

KAFARA AU GHARAMA 5 ZAKULIPA ILI UWE TAJIRI πŸ™

Watu wengi wanafikiri utajiri ni bahati. Wengine wanafikiri ni kurithi. Lakini ukweli ni huu: Utajiri ni vita ya kisaikolojia ambapo silaha pekee ni kafara. Usidanganywe na picha za Instagram za watu wakiwa kwenye fukwe; hapo ni mwisho wa safari. Leo nataka nikuchane kuhusu mwanzo wa safari ule upande wa giza, jasho, na damu ambao haupigwi picha.

Umesema unatamani kuwa tajiri? Swali siyo "unatamani kiasi gani", swali ni "upo tayari kupoteza nini?"

1. KAFARA YA USINGIZI: "THE MIDNIGHT ASSASSIN
MITHALI 20: 13 πŸ’₯πŸ’₯
Wakati dunia imetulia saa nane za usiku, hapo ndipo hatima za watu zinapoandikwa. Maskini hutumia masaa hayo kuota ndoto, lakini tajiri hutumia masaa hayo kuzitengeneza ndoto. MITHALI 6: 9_ 11 πŸ’₯πŸ’₯

Gharama: Macho mekundu, uchovu wa akili, na mwili unaolalamika.
Ukweli: Huwezi kuwa tajiri kwa kufanya kazi masaa nane (8) k**a kila mtu mwingine. Lazima uibe masaa ya ziada kutoka kwenye usingizi wako. Unapokuwa macho wakati wenzako wamelala, unajipa nafasi ya kuwa mbele yao kwa hatua elfu moja. Usingizi ni anasa ambayo huna sifa ya kuipata mpaka akaunti yako itakapokuwa inazalisha pesa ukiwa umelala.

2. KAFARA YA MAHUSIANO SUMU (THE SOCIAL SURGERY) MITHALI 18: 24 πŸ’₯πŸ’₯
Hii ndiyo kafara inayoumiza zaidi. Utajiri unahitaji "upasuaji" wa marafiki.

Huwezi kukimbia marathon ukiwa umebeba magunia ya mchanga mgongoni. Marafiki wanaopenda starehe, wanaolalamika kuhusu serikali kila siku, na wanaotumia wikendi nzima kunywa pombe hao ndio magunia yako.

Gharama: Utaitwa msaliti. Utaitwa una dharau. Utaitwa "umejificha".

Ukweli: Lazima ukubali kuwa mpweke. Siri ya matajiri ni kwamba walikubali kutembea peke yao kwenye jangwa la utafutaji ili waje kukutana na matajiri wenzao kwenye kilele cha mlima. K**a marafiki zako watano ni maskini, wewe ni wa sita.

3. KAFARA YA EGO NA MUONEKANO (INCOGNITO MODE)
Dhambi kubwa ya maskini ni kutaka kuonekana tajiri kabla ya kuwa tajiri.

Unanunua simu ya milioni tatu ..... prt2

So Israel and USA have being Bombing Paintings not Real JetsIRAN HAD MOVED ITS ACTUAL JETS UNDERGROUND BEFORE THE WAR BE...
06/03/2026

So Israel and USA have being Bombing Paintings not Real Jets

IRAN HAD MOVED ITS ACTUAL JETS UNDERGROUND BEFORE THE WAR BEGAN

STUPIDS
please follow for more updates 🚨🚨🚨🚨🚨🚨🀲

WOTE TUJIFUNZE KWENYE KOMENTI.Umepata Milion 1. Utafanyia biashara gani ambayo unaona itakutoa, utatengeneza faida kubwa...
05/03/2026

WOTE TUJIFUNZE KWENYE KOMENTI.

Umepata Milion 1. Utafanyia biashara gani ambayo unaona itakutoa, utatengeneza faida kubwa. Na unao uwezo wa kutengeneza faida ya milioni nyingine kwa muda mfupi.

WENGINE TUJIFUNZE KWENYE KOMENTI.
Yawezekana ukiandika vizuri wazo ulilonalo, kuna wengine wanahiyo hela watahitaji kuja kuwekeza kwenye wazo lako. Au wanaweza kukutafta mkafanya biashara, hasa kwa tuliopo Tanzania, nikiwemo mimi pia.

Kweli jinsi anavyotakaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
05/03/2026

Kweli jinsi anavyotakaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

05/03/2026

Unauza nini na uko wapi
Namba ya simu usisahau kuweka

MICHEZO; Baada ya dabi kali kati ya Simba SC na Young Africans SC, nyota wa Simba Innocent Loemba ameonyesha moyo wa spo...
05/03/2026

MICHEZO; Baada ya dabi kali kati ya Simba SC na Young Africans SC, nyota wa Simba Innocent Loemba ameonyesha moyo wa sportsmanship kupitia Insta Story yake.

Loemba amemuomba radhi beki wa Yanga Dickson Job kufuatia tukio lililotokea wakati wa mchezo huo. Kupitia ujumbe wake aliandika: β€œI compatible with you πŸ™πŸ™β€, ujumbe unaoweza kufasiriwa kwa Kiswahili k**a β€œNinakuelewa / nakuonea huruma na niko pamoja na wewe.”

Kitendo hicho kinaonyesha heshima na utu kati ya wachezaji licha ya ushindani mkali uliopo kati ya Simba na Yanga. Mashabiki wengi wamepongeza hatua hiyo ya Loemba kuonyesha upendo na kujali mchezaji mwenzake baada ya tukio hilo uwanjani.

05/03/2026

SIKU YA KWANZA KUFANYA MAPENZI ULIKUA NA UMRI GANIπŸ˜›

Toooop 🎼🎼🎼🎼 score🚨🚨🚨🚨🚨
05/03/2026

Toooop 🎼🎼🎼🎼 score🚨🚨🚨🚨🚨

  Nauza smart phone used bei 260000 alie siliaz aje inbox πŸ“₯πŸ“₯πŸ“₯πŸ“₯
05/03/2026


Nauza smart phone used bei 260000 alie siliaz aje inbox πŸ“₯πŸ“₯πŸ“₯πŸ“₯

05/03/2026

Listen πŸ‘‚πŸ‘‚πŸ‘‚πŸ‘‚πŸ‘‚

Hapa ungepata maks ngapi sema k**a nakuona πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
05/03/2026

Hapa ungepata maks ngapi sema k**a nakuona πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

05/03/2026

HIVI KWANINI UTURUKI HASHAMBULIWI NA IRAN LICHA YA KUWA UTURUKI KUNA KAMBI ZA KIMAREKAN PALEπŸ€”πŸ€”

Address

Mwanza

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chemsha BONGO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share