GNtv Media Online

GNtv Media Online Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from GNtv Media Online, Broadcasting & media production company, mwanza, nyegezi, Mwanza.

🎙️ Media Enthusiast | 📺 Broadcasting Pro | 🗣️ Communication Specialist

Passionate about the art of storytelling and the power of media, I thrive in the dynamic world

Let’s connect and collaborate on the future of media!

27/11/2025

27/11/2025

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti amekea vikali vitendo vya baadhi ya vijana kutumia muda wao mwingi kushinda katika vijiwe vya kucheza mchezo wa Pool Table.

Mkuu huyo amewataka kuachana kabisa na tabia hiyo na badala yake wajikite katika kufanya shughuli mbali mbali ikiwemo kilimo

27/11/2025

*DKT. JAFARI AWATAKA WATOA HUDUMA ZA AFYA KUACHA LUGHA CHAFU KWA WAGONJWA*

Naibu Waziri wa TAMISEMI anayeshughulikia masuala ya afya, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Busanda, Dkt. Jafari Rajabu Seif, ametoa wito kwa watumishi wa afya kote nchini kuhakikisha wanatumia lugha ya upole, staha na tabasamu wanapotoa huduma kwa wagonjwa wanaofika katika vituo na zahanati za serikali.

Dkt. Jafari alitoa kauli hiyo wakati wa ziara ya kushtukiza aliyofanya katika Kituo cha Afya cha Nyarugusu kilichopo katika Kata ya Nyarugusu, Jimbo la Busanda, Wilaya ya Geita.

“Serikali ya Dkt. Samia itaendelea kuboresha huduma za afya, ikiwemo ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya vituo vya afya na zahanati. Hata hivyo, pamoja na maboresho hayo, nyinyi watoa huduma mna wajibu wa kumpokea mgonjwa kwa tabasamu na kutumia lugha safi, si lugha chafu,” alisema Dkt. Jafari.

Kwa upande wake, Kaimu Mganga Mfawidhi wa kituo hicho Fredi Feliasianj alisema kuwa wamefurahishwa na ziara ya Naibu Waziri, kwani kituo hicho kinahudumia wananchi wengi na kinahitaji maboresho makubwa ili kuendelea kutoa huduma bora kwa jamii.

29/08/2025

SUBSCRIBE GNtv Media Online

29/08/2025

huru ya taifa ya uchaguzi

28/08/2025

12/06/2025
11/06/2025

BOTI YA YAWA UTALI WA NDANI

Address

Mwanza, Nyegezi
Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GNtv Media Online posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share