Mwanza City Corners

Mwanza City Corners Kundi la watu wote wa Tanzania based on Mwanza city.

Karibu Mwanza City Corners .
30/04/2024

Karibu Mwanza City Corners .

Baada ya miaka 23, sasa rasmi jiji la Mwanza kuwakilishwa na Pamba jiji Football  Club katika ligi kuu ya NBC msimu wa 2...
29/04/2024

Baada ya miaka 23, sasa rasmi jiji la Mwanza kuwakilishwa na Pamba jiji Football Club katika ligi kuu ya NBC msimu wa 2024/2025.

Pamba FC ndio timu ya jiji la Mwanza yenye jina la utani, Tp Lindanda, wana Kawekamo. K**a umefurahishwa na Pamba kupanda ligi kuu like moja kwa WanaTp Lindanda.

Kivuko kwenda Busisi sengerema!! Je umewahi kupanda kivuko hiki? Kinaitwaje? Mradi gani uliopo Mwanza unaokuvutia? Toa m...
25/04/2024

Kivuko kwenda Busisi sengerema!! Je umewahi kupanda kivuko hiki? Kinaitwaje? Mradi gani uliopo Mwanza unaokuvutia? Toa maoni yako kwenye comment hapo chini.
Mwanza ni jiji la pili kwa ukubwa Tanzania baada ya Dar es Salaam. Lilipewa hadhi ya kuwa jiji tarehe 7 mwezi wa 7 mwaka 2002. Kwa sasa ni wilaya mbili zinazounda jiji la mwanza , wilaya ya Nyamagana (Halmashauri ya jiji la Mwanza) na Ilemela (Halmashauri ya manispaaa ya Ilemela).

Kwa Sasa upo mtaa gani ndani ya jiji la Mwanza? Tujuze hapa ,   uliwahi kwenda Mamba beach, tunza lodge , Capri Cabana w...
17/08/2022

Kwa Sasa upo mtaa gani ndani ya jiji la Mwanza?
Tujuze hapa , uliwahi kwenda Mamba beach, tunza lodge , Capri Cabana wewe ni legendary na tena bila kusahau Capri corn 🤣🤣.

Mwanza city corners !! Nyamagana & Ilemela !! Mitaa ifuatayo ipi unaikubali , Kiseke &  Buswelu, Nyahingi & Bulale ...ch...
16/08/2022

Mwanza city corners !! Nyamagana & Ilemela !!
Mitaa ifuatayo ipi unaikubali , Kiseke & Buswelu, Nyahingi & Bulale ...chagua Kata / mtaa mmoja 💎💎🇹🇿. 💦.

Swali kwa wadau , hapa panaitwaje , ni mtaa gani , kata na wilaya gani ?
01/06/2022

Swali kwa wadau , hapa panaitwaje , ni mtaa gani , kata na wilaya gani ?

31/05/2022

Sabasaba to Buswelu , Kahama hadi Shibula kupitia Kiseke.


Huu ndio muonekano wa jengo la abiria la  uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwanza. Tunaombea mradi huu ukamilike mapema i...
30/05/2022

Huu ndio muonekano wa jengo la abiria la uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwanza. Tunaombea mradi huu ukamilike mapema ili jiji la Mwanza lizidi kupendeza.
Utakuwa na uwezo wa kupokea abiria milioni mbili kwa mwaka.

Karibu Mabatini Jijini Mwanza...hapo kuna mchele mwingi sana.
30/05/2022

Karibu Mabatini Jijini Mwanza...hapo kuna mchele mwingi sana.

Wadau wote wanaopenda Mwanza hili ni group letu.la kufahamiana, kubadilishana mawazo na kutoa platform kwa wakazi waliop...
07/05/2022

Wadau wote wanaopenda Mwanza hili ni group letu.
la kufahamiana, kubadilishana mawazo na kutoa platform kwa wakazi waliopo mbali kujua yanayoendelea kuhusu mji wetu mzuri kabisa wa Mwanza.
Follow link hii ili uingie moja kwa moja uwe mmoja wa wadau wa maendeleo ya Mkoa mzima wa Mwanza.
https://chat.whatsapp.com/JhtQ6z00OBL4B2xaKCUMga

WhatsApp Group Invite

Stendi mpya kabisa ya halmashauri ya  manispaa ya Ilemela .. Nyamongholo Ilemela Mwanza itakuwa na sehemu ya mabasi, seh...
07/05/2022

Stendi mpya kabisa ya halmashauri ya manispaa ya Ilemela .. Nyamongholo Ilemela Mwanza itakuwa na sehemu ya mabasi, sehemu ya maegesho ya malori pamoja na hosteli (mabweni) kwa ajili ya kupumzikia ...Mwanza become to be the great city in Tanzania.

Miradi mikubwa Mwanza kwa sasa. Jengo la kisasa la abiria katika uwanja wa ndege wa Mwanza lenye uwezo wa kubeba abiria milioni mbili kwa mwaka , daraja la Magufuli (Busisi), ujenzi wa meli ya Mv Mwanza hapa kazi tu, ujenzi wa stendi mpya ya mabasi ya mkoa Nyegezi Mwanza, soko kuu la biashara katikati ya jiji n.k.

Karibuni sana Mwanza.

# # # # # #

Progress ...Natumai stendi mpya na nzuri ya Nyegezi itakamilika soon ! Mwanza the second largest city in Tanzania.🙏🙏🙏
04/05/2022

Progress ...Natumai stendi mpya na nzuri ya Nyegezi itakamilika soon ! Mwanza the second largest city in Tanzania.🙏🙏🙏

06/03/2022

Welcome to Mwanza city corners , hapa tutaanza kuwaletea bidhaa mbalimbali , stay tuned.

Kwa wanaohitaji bidhaa k**a nguo , simu n.k usisite kutupigia simu kwa 0652945092.

Address

Ilemela
Mwanza

Telephone

+255692434499

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwanza City Corners posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share