Mpaji yohana

Mpaji yohana Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mpaji yohana, Social Media Agency, .

🙏🇹🇿
17/03/2026

🙏🇹🇿

Kila post bila plan ni k**a gari bila direction ....hivi wafanyabiashara wa magari storytelling+content calendar ndio se...
16/03/2026

Kila post bila plan ni k**a gari bila direction ....hivi wafanyabiashara wa magari storytelling+content calendar ndio secret ya growth hakikisha unafanya yafuatayo.....

✓Content ina variety( reels, photos, stories )
✓Audience inashirikiana na post zako
✓Inakupeleka kwenye leads na sakes za kweli

💬 Comment "CALENDAR" sasa nikutumie utaratibu namna ya kupata content calendar... Instagram audit nitakufanyia bure kabisa

N:B .............

Men on mission 🫵
24/02/2026

Men on mission 🫵

❤️
24/02/2026

❤️

Everybody should support his or her national during ._  igwee
22/12/2025

Everybody should support his or her national during ._ igwee

Sababu ni Moja Tu   platform zinawatumiaji wengi kuliko nyingine nyingi so k**a unataka kufikia watu wengi zaidi meta in...
20/12/2025

Sababu ni Moja Tu platform zinawatumiaji wengi kuliko nyingine nyingi so k**a unataka kufikia watu wengi zaidi meta inabidi iwe priority ya kwanza

Sikutegemea kabisa k**a ingenigharimu muda na kiasi kikubwa cha pesa...Nilijaribu kununua followers nikiamini wakiwa wen...
16/12/2025

Sikutegemea kabisa k**a ingenigharimu muda na kiasi kikubwa cha pesa...
Nilijaribu kununua followers nikiamini wakiwa wengi kwangu ingekuwa rahisi kutengeneza hapo pesa kidogo hata ya kujikimu.

Nikiendelea kuamini kwamba siku moja nitaweza kuwasaidia wengine kupitia ujuzi nilionao . Siku moja nikiwa na scroll Instagram ndipo nikakutana na page ya Instagram ya Mtu mmoja maarufu na alikuwa anazungumzia maswala ya social media management kutokana na ujuzi wa graphics design nilikuwa nao ikanibidi nipate japo course moja ya social media management.

Ndipo nikapata elimu zaidi kwa namna gani naweza kuwasaidia wafanyabiashara wadogo wanaotamani kujua na kupata wateja zaidi kupitia mitandao ya kijamii. Ndipo nikapata wazo la kuanzisha safari na wafanya biashara wadogo itakayodumu ndani ya mwezi mmoja hapo nitawasaidia kufanya asilimia 80% ya huduma ninazotoa bure na wao watachangia 20% Tu.

K**a ukotayari kuanza safari hii na Mimi comment neno INTERESTED nitakutumia utaratibu wa kujiunga kwenye DM yako.

"For I know the plans I have for you say's the lord"
14/12/2025

"For I know the plans I have for you say's the lord"

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mpaji yohana posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share