12/05/2026
SEASON 2 IMEIVA π§οΈ
Msimu uliopita Simba aliwapa somo.
Msimu huu Mashujaa wanasema: "Tumejiandaa"
Je, Mnyama atawinda tena?
Au Mashujaa watakuwa wepesi?
Comment "π¦" k**a upo na Simba
Comment "βοΈ" k**a upo na Mashujaa
ISMA MEDIA INAKUPELEKA LIVE