Nguvu Ya Asili

Nguvu Ya Asili Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Nguvu Ya Asili, Digital creator, Nachingwea.

🌿 Tiba za Asili | Afya Bora
Jifunze njia rahisi na salama za kuboresha afya yako kila siku đź’Ş
⚠️ Elimu tu – wasiliana kwa ushauri zaidi.
+255735402200
+255774402200
+255753689848

Naam Watu wengi wanatumia Limao k**a Kiungo Cha mboga lakini nawapa faida chache za kutumia Limao K**a kifungua kinywa C...
19/03/2026

Naam Watu wengi wanatumia Limao k**a Kiungo Cha mboga lakini nawapa faida chache za kutumia Limao K**a kifungua kinywa Chako Asubuhi utapata faida hizo 👇

MAJI YA UVUGUVUGU NA LIMAU
Kunywa asubuhi kabla ya kula kitu

âś… Husaidia kusafisha mwili
âś… Huongeza kinga
âś… Husaidia kupunguza mafuta mwilini
đź’Ş Anza kesho asubuhi

FAIDA ZA TANGAWIZI MWILINI Tangawizi sio kiungo cha chai tu! Ina faida kubwa kiafya 👇✅ Huongeza kinga ya mwili✅ Husaidia...
18/03/2026

FAIDA ZA TANGAWIZI MWILINI

Tangawizi sio kiungo cha chai tu! Ina faida kubwa kiafya 👇

âś… Huongeza kinga ya mwili
✅ Husaidia mmeng’enyo wa chakula
âś… Hupunguza maumivu ya tumbo
âś…kuzuia kichefuchefu
âś…Kupambana Tumbo kujaa Gesi
âś…Kusafisha Tumbo Lililoharibika Mimba

Jinsi ya kutumia:
Ponda ponda Tangawizi Kisha
Chemsha kwenye maji, kunywa k**a chai mara 1–2 kwa siku
Naam
Ulishawahi kutumia tangawizi? Tuambie kwenye comment

👉 Follow kwa tips zaidi za afya

KARIBU KWENYE UKURASA WETU Je, unajua unaweza kuboresha afya yako kwa njia rahisi za asili? Hapa tutakuwa tunakuletea:âś… ...
18/03/2026

KARIBU KWENYE UKURASA WETU
Je, unajua unaweza kuboresha afya yako kwa njia rahisi za asili?
Hapa tutakuwa tunakuletea:
âś… Elimu ya tiba za asili
âś… Njia rahisi za kujikinga na magonjwa
âś… Tips za afya bora kila siku
💚 Afya yako ni utajiri wako – anza kujali leo!
👉 Follow ukurasa huu upate maarifa mapya kila siku
👉 Share na rafiki yako ili naye ajifunze
👉Elimu tu – wasiliana na daktari kwa ushauri zaidi.

Address

Nachingwea

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nguvu Ya Asili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share