Aiyumi tv online

Aiyumi tv online Karibuni aiyumi tv follow kwa Habari zenye ukweli

R.l.p
11/08/2026

R.l.p

24/07/2026
Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Salumu Ally
16/07/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Salumu Ally

Tasnia ya soka imepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha aliyekuwa golikipa wa Yanga SC, Klaus Kindoki, aliyefariki du...
12/07/2026

Tasnia ya soka imepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha aliyekuwa golikipa wa Yanga SC, Klaus Kindoki, aliyefariki dunia kufuatia ajali ya gari nchini DR Congo.Aliyekuwa golikipa wa Yanga SC, Klaus Kindoki, ameripotiwa kufariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuhusika katika ajali mbaya ya gari iliyotokea jijini Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Kindoki aliitumikia Yanga SC katika msimu wa 2018/19, ambapo aliwahi kuwa sehemu ya kikosi cha Wananchi kabla ya kuendelea na maisha yake ya soka nje ya Tanzania.Kifo chake kimeacha majonzi kwa familia, marafiki, wachezaji wenzake na mashabiki wa soka waliomfahamu katika kipindi chake cha uchezaji.Pumzika kwa amani, Klaus Kindoki. Urithi wako utaendelea kukumbukwa.

07/07/2026

Tupo kazini

Mbwile Afundisye Happiness
01/07/2026

Mbwile Afundisye Happiness

Address

Lindi
Nachingwea
UWINDINI

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Aiyumi tv online posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category