dig.it.with.imani

  • Home
  • dig.it.with.imani

dig.it.with.imani Let’s talk About 👉Digital Rights &Inclusion, Online Gender Based Violence and Digital Opportunities

🚨 NEW EPISODE ALERT! 🎙️What happens when the internet becomes a tool of abuse instead of empowerment? On this episode of...
28/06/2025

🚨 NEW EPISODE ALERT! 🎙️

What happens when the internet becomes a tool of abuse instead of empowerment?

On this episode of , we unpack Technology Facilitated Abuse (TFA) with powerful youth voices from Ghana 🇬🇭 and Kenya 🇰🇪.

🎧 Martin and James break down online blackmail, digital surveillance, and the silence of systems meant to protect us.

🔥 From shared phones to policy failures, they’re calling it out and demanding change.

💥 Listen in and join the movement to for all youth.

👉 Click the link on Bio and Instasories

Heeey DIWER,Ushawahi kusikia au kujua kuhusu mali za kidijitali?Wote tunajua kuhusu mali za kushikika k**a vile gari, ny...
16/05/2025

Heeey DIWER,

Ushawahi kusikia au kujua kuhusu mali za kidijitali?

Wote tunajua kuhusu mali za kushikika k**a vile gari, nyumba, mashamba na N.k. Na hivi vyote tunajua urithishwaji wake unavyokuwa.

Vipi kuhusu mali za kidijitali k**a vile account za mitandao ya kijamii, YouTube, haki miliki za picha zako, Audio au video zako za mtandaoni ambazo zinaingiza hela.. je unajua unaweza kurithisha hizi mali?

Kabla ya kurithisha, je unajua unatakiwa kuzisajili ili iwe mali yako?

Swali ni unasajili vipi na unazirithisha vipi? basi leo tupo na Mwanasheria aliebobea katika masuala ya ulinzi wa taarifa binafsi na haki za kidijitali, Rachel Magege akitupisha kwa undani juu ya suala hili.

Hii si ya kukosa kusikiliza. Bofya link kwenye Bio

Online abuse is silencing women in media.3 in 4 women journalists surveyed by UNESCO have faced online abuse just for do...
12/05/2025

Online abuse is silencing women in media.

3 in 4 women journalists surveyed by UNESCO have faced online abuse just for doing their jobs.

25% have received physical threats. 18% have experienced sexual abuse.
And 1 in 4 say it has impacted their mental health.

This is not just harassment, it’s a threat to press freedom and gender equality.

What measures can stakeholders implement to safeguard women in the media industry?

Hebu fikiria.. unaacha kazi ofisini kwako na kuamua kusafari mpaka mkoa mwingine ukiwa na tumaini la kusaini mkataba mpy...
01/05/2025

Hebu fikiria.. unaacha kazi ofisini kwako na kuamua kusafari mpaka mkoa mwingine ukiwa na tumaini la kusaini mkataba mpya wa kazi wenye malisho mazuri zaidi.

Baada ya kufika tu, usiku wa kwanza kuripoti kazini, boss anataka kushiriki ngono na wewe pasipo makubaliano yoyote.

Ni usiku ambao Doreen hataki kuukumbuka.

Ilikuaje? alifanya nini? sikiliza hii special edition, maalum kwa siku ya wafanyakazi duniani.

🎧 Bofya link kwenye Bio kusikiliza.

Happy Karume Day DIWERS❤️   Designed by
07/04/2025

Happy Karume Day DIWERS❤️



Designed by

Tunawatakia waislamu wote ulimwenguni sikukuu njema ya Eid❤️🤍
31/03/2025

Tunawatakia waislamu wote ulimwenguni sikukuu njema ya Eid❤️🤍

We are rebranding your favorite podcast, .it.with.imani  I hope you all are ready for season two 🤗How would you like to ...
30/03/2025

We are rebranding your favorite podcast, .it.with.imani I hope you all are ready for season two 🤗

How would you like to see it?



Our new beautiful Logo designed by 🙌

Heri ya kumbukizi ya miaka 25 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Tanzania, Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere.  Graphic by
14/10/2024

Heri ya kumbukizi ya miaka 25 ya kifo cha Rais wa kwanza wa Tanzania, Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere.



Graphic by

In collaboration with Tech & Media Convergency (TMC) under the Women At Web Tanzania  project, we bring you the second s...
19/07/2024

In collaboration with Tech & Media Convergency (TMC) under the Women At Web Tanzania project, we bring you the second series of webinars in a row 🥳.

In this thought-provoking episode, we dive deep into the intersection of Artificial Intelligence (AI) and policy development to tackle the critical issue of media-amplified instances of technology-facilitated Gender-Based Violence (GBV). We explore how AI can be effectively leveraged to identify, address, and prevent GBV in the digital space while discussing the necessary policies that must be implemented to support these initiatives.

Join us as we speak to media and social advocacy experts to understand the dynamics at play and discover innovative solutions to foster a safer online environment for everyone. Whether you’re a policymaker, tech enthusiast, or advocate for gender equality, this episode offers valuable insights into making proactive change against technology-facilitated GBV. Don’t miss out on this important conversation—let’s work together towards a more inclusive and safe digital landscape!

⛓️‍💥 Click the link on Bio to listen

Unatumia mitandao ya kijamii kutafuta kazi, kuuza ujuzi wako, kufanya biashara au kuhamasisha jamii katika masuala mbali...
03/07/2024

Unatumia mitandao ya kijamii kutafuta kazi, kuuza ujuzi wako, kufanya biashara au kuhamasisha jamii katika masuala mbalimbali?

Episode hii inakufundisha namna ya kutengeneza utambulisho wako mtandaoni kutokana na kile nachokifanya.

Dakika 20 tu zinatosha kubadili maisha yako ya mtandaoni.👇

⛓️‍💥 Bofya link kwenye Bio Kusikiliza

NB: SUBSCRIBE to our YouTube channel for more episodes.

Je, umesikiliza episode mpya ya  ?Tulikuwa na mazungumzo ya kina na yenye tija kuhusu namna wanahabari na vyombo vyao wa...
19/06/2024

Je, umesikiliza episode mpya ya ?

Tulikuwa na mazungumzo ya kina na yenye tija kuhusu namna wanahabari na vyombo vyao wanaweza kusababisha ongezeko la ukatili wa kijinsia mtandaoni kutokana na namna wanavoandika au kuripoti habari hizo.

Kwa maneno mengine tunaweza kusema, Namna ambavyo uandishi wa habari unaweza kuchochea ukatili au unyanyasaji wa kijinsia kwenye majukwaa ya kjitali.

Sikiliza kupitia Link kwenye Bio halafu tuandikie maoni yako, Unadhani wapi vyombo vya habari na waandishi wa habari wanakosea?

Episode mpya imetokaaaHii ipo tofauti na nyingine ulizosikiliza. Safari hii, tupo na wataalam wa nne kwenye episode moja...
18/06/2024

Episode mpya imetokaaa

Hii ipo tofauti na nyingine ulizosikiliza. Safari hii, tupo na wataalam wa nne kwenye episode moja wakijadili jinsi vyombo vya habari na technolojia inavyoweza kusababisha matatizo na unyanyasaji wa kijinsia mtandaoni.

Tumefanya mazungumzo mazuri tukigusa na kuakisi kila nyanja ya maendeleo ya teknolojia inavyogusa na kuchangia unyanyasaji/ukatili wa kijinsia mtandaoni.

Hii sio ya kukosa kusikiliza k**a unapenda au mdau wa vyombo vya habari na teknolojia.

⛓️‍💥 https://podcasts.apple.com/tz/podcast/dig-it-with-imani-the-podcast/id1640742136?i=1000659120337

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when dig.it.with.imani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to dig.it.with.imani:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share