Njombe TV

Njombe TV NI PAGE INAYOUNGANISHA CHANNEL YA NJOMBE TV INAYOPATIKANA YOUTUBE https://youtu.be/SOQAqoBYFvk

11/12/2025

LUDEWA

10/12/2025

MBUNGE WA VITI MAALUM NJOMBE ATOA MCHANGO WA MILIONI TANO KUSAIDIA “ASILI YETU TV”MBUNGE wa  Viti Maalum mkoa wa Njombe ...
07/12/2025

MBUNGE WA VITI MAALUM NJOMBE ATOA MCHANGO WA MILIONI TANO KUSAIDIA “ASILI YETU TV”

MBUNGE wa Viti Maalum mkoa wa Njombe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) ametoa mchango wa shilingi milioni Tano kwa kituo cha matangazo mtandaoni Asili Yetu TV ili kusaidia uendeshaji wa shughuli za kituo hicho.

Kituo cha Asili Yetu TV kiliandaa hafla ya jioni iliyowakutanisha wageni mbalimbali, wakiwemo viongozi wa serikali, wadau wa habari na vijana. Wakati wa hafla hiyo, Mbunge huyo alisikiliza risala ya mkurugenzi wa kituo ambayo ilieleza changamoto zinazokikabili kituo hicho, ikiwemo upungufu wa vifaa na gharama za uendeshaji.

Baada ya kusikiliza risala hiyo, Mbunge huyo ameahidi kuchangia shilingi milioni tano kati ya milioni sita zinazohitajika, huku akikabidhi shilingi milioni moja taslimu papo hapo ili kufanikisha huduma za matangazo na ukuaji wa kituo.

Akizungumza mbele ya wageni waalikwa na kupitia matangazo ya moja kwa moja ya Asili Yetu TV, Mbunge Sigrada ameitaka jamii kushirikiana katika kutekeleza shughuli mbalimbali za kijamii pamoja na kuunga mkono jitihada za vijana.

tv updates #

Address

NJOMBE
Njombe

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Njombe TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Njombe TV:

Share