Francis Cheyo Official

Francis Cheyo Official Journalist | PR Officer | MC | Events Planner | Digital Creator. Sharing news, business insights

Anaandika Roma.Utumwa wa kazi
05/07/2026

Anaandika Roma.

Utumwa wa kazi

04/07/2026
Anaandika Roma
28/06/2026

Anaandika Roma

Kwa huduma ya Usafi wasiliana nasi
22/06/2026

Kwa huduma ya Usafi wasiliana nasi

Kucheza hivi mbele ya maharusi je ni sawa au si sawa???Ifike wakati  Kamati, MC na Floor Manager mlinde furaha ya maharu...
18/06/2026

Kucheza hivi mbele ya maharusi je ni sawa au si sawa???

Ifike wakati Kamati, MC na Floor Manager mlinde furaha ya maharusi wenu. Watu k**a hawa wazuiwe mlangoni au wazuiwe kwenda mbele"

A: SAWA
B: SI SAWA

15/06/2026

Hivi uwakirishi maana yake ni nini?
Je wabunge kweli ni wawakilishi wetu k**a tulivyowatuma au wanajichukulia maamuzi yao.

Karibu kwenye comment

KWANINI TUNAKULA? Tukutane kwenye comment Tunakula kwa sababu mwili unahitaji nguvu na virutubisho ili kuishi, kukua, ku...
15/06/2026

KWANINI TUNAKULA? Tukutane kwenye comment

Tunakula kwa sababu mwili unahitaji nguvu na virutubisho ili kuishi, kukua, kufikiri, kutembea, na kujikinga na magonjwa.

Chakula hutupa:

Nishati ya kufanya kazi

Protini za kujenga mwili

Vitamini na madini kwa afya

Maji na nyuzinyuzi kusaidia mmeng’enyo

Kwa kifupi: tunakula ili mwili upate nguvu na ubaki hai na wenye afya.

Wewe unasemaje???

Anaandika Viola Mtetezi  Mtu Anae Fikia Miaka 30 Ni Mkubwa,lakini Mtu Anaekufa Akiwa Na Miaka 30 Ni Mdogo.. Don't Let An...
15/06/2026

Anaandika Viola Mtetezi

Mtu Anae Fikia Miaka 30 Ni Mkubwa,lakini Mtu Anaekufa Akiwa Na Miaka 30 Ni Mdogo.. Don't Let Anyone Pressure You, Maana Pia rafiki Wa Tajiri Sio Tajiri Ila Rafiki Wa Mwizi Ni Mwizi😅😅

Huwa unajibu vipi comment za mashabiki zako?
15/06/2026

Huwa unajibu vipi comment za mashabiki zako?

Address

Iringa
Njombe
2525

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Francis Cheyo Official posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share