
05/07/2025
🎉 Karibu Sana kwenye Ibada Maalum ya Jumapili! 🙏🏽
Kwa upendo mkubwa tunakualika kushiriki nasi katika ibada ya kipekee ya kumwabudu Mungu wetu aliye hai.
🗓 Tarehe: Jumapili, 06 Julai 2025
🕐 Muda: Kuanzia saa 1:00 kamili asubuhi
📍 Mahali: KKKT Galilaya Buhongwa
Usikose nafasi hii ya baraka, maombi, sifa, na Neno la Mungu litakalojenga na kuimarisha maisha yako kiroho. Kuna ujumbe mahususi kwa ajili yako!
> Zaburi 122:1
Nalifurahi waliponiambia, Na twende nyumbani kwa BWANA.
Karibu sana – wewe ni mgeni wa heshima!