Computer Application Course

Computer Application Course Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Computer Application Course, Digital creator, Kibaha, Pwani.

14/02/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Erasto Seka, EasyBoe De Victor, Ally Seifu, Calvin Ntabonwa, Lazaro Symon, Mnasie Hagos, Gul Mohammad Adil, Maka Chona, Moh Og

18/01/2024

JIFUNZE NAMNA YA KUWA NA AKAUNTI ZAIDI YA MOJA ZA MITANDAO YA KIJAMII KWENYE SIMU MOJA (I.E WHATSAPP, INSTAGRAM, TWITTER, TIKTOK, FACEBOOK, N.K)
NI KUAMUA


APPLICATION COURSE
Computer Application Course

MsembeTech

TUTAKACHO KIFANYA TUNAENDA PLAYSTORE AU APP STORE KUPAKUA APP INAITWA "PARALLEL SPACE", HII APP ITATUSAIDIA KUTENGENEZA COPY YA KILA APP UNAYOTAKI IWE NA KOPI YAKE KWENYA SIMU YAKO, HIVO BASI UTAWEZA KUWA NA AKAUNTI ZAIDI YA MBILI KWENYE SIMU YAKO BILA SHIDA YEYOTE.

CHAKUZINGATIA NI KWAMBA UKISHA INSTALL HIYO APP NA KUIFUNGUA KUNA KITUFE CHA + (JUMLISHA) UNAKUWA UNAKITUMIA KUWEKA KOPI YA KILA APP UNAYOITAKA KWA AJILI YA MATUMIZI YAKO YA AKAUNTI YA ZIADA.

ASANTENI SANA, FOLLOW , LIKE NA KU SHARE HUU UKURASA ILI USIPITWE NA KILA SOMO TUNALOTOA, TUPO KWA AJILI YAKO.

16/01/2024
JIFUNZE NAMNA YA KUOMBA PASSPORT YA KUSAFIRIA KWA NJIA YA MTANDAO   (TANZANIA PASSPORT ONLINE APPLICATION)  NI KUAMUA Co...
16/01/2024

JIFUNZE NAMNA YA KUOMBA PASSPORT YA KUSAFIRIA KWA NJIA YA MTANDAO (TANZANIA PASSPORT ONLINE APPLICATION)

NI KUAMUA

Computer Application Course

MsembeTech

@

[email protected]
+255 734 272 734
+255 713 612 679

KWANZA INGIA KWENYE LINK HII YA OFISI ZA UHAMIAJI
https://eservices.immigration.go.tz/

BAADA YA KUINGIA KWENYE TOVUTI YA UHAMIAJI, FUATA HATUA ZIFUATAZO:-

1.(a). BONYEZA HICHO KITUFE CHA "PASSPORT APPLICATION".

1.(c). BONYEZA HICHO KITUFE CHA "OMBI JIPYA" ENDAPO K**A NI MARA YAKO YA KWANZA KUOMBA KWA NJIA YA MTANDAO.

1.(c). BONYEZA HICHO KITUFE CHA "ANZA OMBI".

2,3,4,5 & 6. UTAKUWA UNABONYEZA HICHO KITUFE CHA "HIFADHI NA ENDELEA" KILA UNAPOMALIZA KUJAZA TAARIFA HUSIKA.

7. PAKIA VYETI/NYARAKA HIZO ZINAZOHITAJIKA.
8. HAKIKI TAARIFA ZAKO AMBAZO UMEJAZA K**A ZIKO SAHIHI, K**A HAZIKO SAHIHI UNAWEZA KUZIREKEBISHA.

9. HII HATUA UTAPEWA NAMBA YA MALIPO (CONTROL NUMER), UKISHALIPIA ITATOKEA KITUFE CHA "PAKUA FORM YA OMBI LANGU" AMBAZO UTAENDA NAZO OFSI YA UHAMIAJI KWA AJILI YAKUPEWA HARDCOPY YA PASSPORT.

USISAHAU KU FOLLOW, LIKE @ SHARE PAGE YETU ILI KILA SOMO TUNALOTOA LISIKUPITE.

NI KUAMUA
Computer Application Course

Semaji La Simba Online

MsembeTech
APPLICATION COURSE

[email protected]
+255 734 272 734
+255 713 612 679

06/01/2024

Big shout out to my newest top fans! M Gråçé Èrå III

31/12/2023

NAWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA 2024!!

NAWATAKIA MAFANIKIO MEMA.

TUSAMEHEANE TULIPOKOSEANA.

TUPENDANE (MPENDE JIRANI YAKO K**A NAFSI YAKO).

MWAKA 2024 TUTAONGEZA SPEED YA KUJIFUNZA KOMPYUTA BURE HAPA HAPA Computer Application Course , USISAHAU KU FOLLOW NA KU LIKE ILI TUZIDI KWENDA SAMBAMBA

JE WAJUA NINI KUHUSU ADOBE?!WATU WENGI WANADHANIA MTU AKISEMA NIWEKEWE ADOBE KWENYE KOMPYUTA YANGU ANAMAANISHA PHOTOSHOP...
30/12/2023

JE WAJUA NINI KUHUSU ADOBE?!

WATU WENGI WANADHANIA MTU AKISEMA NIWEKEWE ADOBE KWENYE KOMPYUTA YANGU ANAMAANISHA PHOTOSHOP! HAPANA!

ADOBE NI PACKAGE KUBWA AMBAYO INAJUMUISHA PROGRAMU NYINGI SANA MFANO PHOTOSHOP, ILLUSTTRATOR, AUDITION n.k ,

HIVO USHAURI WANGU NI KWAMBA UKITAKA KUWEKEWA ADOBE MWAMBIE MTU NIWEKEE ADOBE FLANI MFANO ADOBE PHOTOSHOP KULINGANA NA UNATAKA KUFANYIA NINI HIYO PROGRAMU.

USIPENDE KUWEKA ADOBE FULL PACKAGE KWENYE KOMPYUTA YAKO ILI HALI HAUZITUMII ZOTE, UNAWEZA KUSABABISHA KOMPYUTA YAKO KUWA NZITO MAANA PACKAGE YA ADOBE INACHUKUA STORAGE SPACE KUBWA.

ALL IN ALL BE SPECIFICALLY!

HAPA CHINI KWENYE HIZI PICHA NIMEKUWEKEA PROGRAMU ZINAZOJUMUISHA KWENYE PACKAGE YA ADOBE.

ENDELEA KUTU FOLLOW, LIKE NA SHARE
Computer Application Course

MsembeTech

UTOFAUTI KATI YA MAC ADDRESS NA IP ADRESS KWENYE KOMPYUTA.Yaani kiufupi MAC address ni physical address ambayo inakuwa i...
28/12/2023

UTOFAUTI KATI YA MAC ADDRESS NA IP ADRESS KWENYE KOMPYUTA.

Yaani kiufupi MAC address ni physical address ambayo inakuwa inapewa kompyuta kutoka kwa mtengenezaji moja kwa moja na na haibadiliki lakini IP Address inakuwa inapewa kompyuta ikiwa kwenye network, na mara nyingi hutolewa na ISP (INTERNET SERVICE PROVIDER)

Computer Application CourseMsembeTechSemaji La Simba News
27/12/2023

Computer Application Course

MsembeTech

Semaji La Simba News

Tufuatilie kwenye page yetu ya facebook  "Computer Application Course" tukupatie maarifa ya bure kuhusu matumizi ya komp...
21/12/2023

Tufuatilie kwenye page yetu ya facebook "Computer Application Course" tukupatie maarifa ya bure kuhusu matumizi ya kompyuta

Address

Kibaha
Pwani

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Computer Application Course posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share