BSM Publishers

BSM Publishers BSM PUBLISHERS ni kampuni ya Kitanzania iliyopo Kariakoo, Dar es salaam. Tunachapa risiti, vitabu, madaftari na vingine vingi kwa bei nafuu.

Kampuni inatoaa kipaumbele kwa:
1. Kazi zote za KISWAHILI
2. Kazi zote zihusuzo KISWAHILI
Zitachapwa kwa BEI POA

BSM PUBLISHERS Kazi kali bei pooa!
08/04/2025

BSM PUBLISHERS
Kazi kali bei pooa!

Riwaya mpya iliyochapwa na TUKI ya UNAWEZA KUWA K**A MIMI BINTI KIZIWI  Sasa ipo tayari. Karibuni.
25/01/2025

Riwaya mpya iliyochapwa na TUKI ya
UNAWEZA KUWA K**A MIMI BINTI KIZIWI
Sasa ipo tayari. Karibuni.

21/07/2024
BSM PUBLISHERS... kazi iendelee 💪🏽💪🏽
06/05/2022

BSM PUBLISHERS... kazi iendelee 💪🏽💪🏽

Kazi inaendelea... Karibu tukuhudumie.
29/03/2022

Kazi inaendelea... Karibu tukuhudumie.

Karibuni mchapishe na kampuni yetu ya Bsm Publishers
29/05/2021

Karibuni mchapishe na kampuni yetu ya Bsm Publishers

13/11/2020

Karibuni mchapishe nasi kwa gharama nafuu kabisaa!

Tupo Kariakoo, Dar es salaam!!

Kazi kazini... Karibuni wateja!
21/06/2020

Kazi kazini... Karibuni wateja!

06/03/2020

TAARIFA
Tunapenda kuwajuzeni wateja wetu kuwa tunatoa huduma zifuatazo kwa bei karibu na bure:

1. Uhariri
2. Kutengeneza makava, pamoja na
3. Kuchapa

Lete mswaada wako leo upate kitabu chako kesho!

Karibuni BSM Publisher's!!

Mitamboni
09/02/2020

Mitamboni

KARIBUNI MCHAPE NASINaomba kuwakaribisha wateja wetu katika ukurasa huu na kwenye kampuni yetu kwa ujumla! KARIBUNI SANA...
06/02/2020

KARIBUNI MCHAPE NASI
Naomba kuwakaribisha wateja wetu katika ukurasa huu na kwenye kampuni yetu kwa ujumla! KARIBUNI SANA!

Kampuni inachapa vitabu kwa bei rahisi na kwa muda muafaka (ndani ya wiki moja kazi yako inakuwa mikononi mwako).

Kampuni inatoa kipaumbele kwa:
1. Waandishi wachanga
2. Maandiko yote ya Kiswahili
3. Maandiko yote yahusuyo Kiswahili.

Wasiliana nasi kwa
[email protected]
+255 625 68 13 02
+255 620 180 065
+255 683 33 55 44

Address

Kariakoo
Sea View

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BSM Publishers posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category