TVOHS Moravian Kahama

TVOHS Moravian Kahama TVOHS =The voice of holy spirit praise & worshipers

Karibu sana Mchungaji Oscar Pyumpa, hapa ni Kahama Mjini Shambani mwa Bwana.
14/07/2026

Karibu sana Mchungaji Oscar Pyumpa, hapa ni Kahama Mjini Shambani mwa Bwana.

Ogopa matapeli hii ndo familia ya The Voice of Holy Spirit ya Moravian Kahama Mjini tuko tayari kwa kazi muda wote. Hii ...
14/07/2026

Ogopa matapeli hii ndo familia ya The Voice of Holy Spirit ya Moravian Kahama Mjini tuko tayari kwa kazi muda wote. Hii kazi alikabidhiwa Samuel Samsoni na mambo yalikuwa vizuri, wasiliana nasi kupitia 0745788385.

Tunakutakia kila lakheri katika majukumu mapya Mchungaji Eliud Maganga.Tunamshukuru Mungu kwa muda uliotumika nasi, kati...
14/07/2026

Tunakutakia kila lakheri katika majukumu mapya Mchungaji Eliud Maganga.

Tunamshukuru Mungu kwa muda uliotumika nasi, katika Kanisa la Moravian Kahama Mjini hakika tutakukumbuka kwa upendo wako, malezi yako kwako, na maonyo yako kwetu.

Sisi the Voice of Holy Spirit Moravian Kahama Mjini tunasema .

Tunakutakia kila lakheri katika majukumu mapya Mchungaji Joyce Mkumbo.Tunamshukuru Mungu kwa muda uliotumika nasi, katik...
14/07/2026

Tunakutakia kila lakheri katika majukumu mapya Mchungaji Joyce Mkumbo.

Tunamshukuru Mungu kwa muda uliotumika nasi, katika Kanisa la Moravian Kahama Mjini hakika tutakukumbuka kwa upendo wako, malezi yako kwako, na maonyo yako kwetu.

Sisi the Voice of Holy Spirit Moravian Kahama Mjini tunasema .

28/06/2026

sikukuu ya kina mama kahama Moravian church

19/06/2026
19/06/2026

shukran �

15/06/2026

Injili Choir Moravian Kahama

15/06/2026

jumapili ya 14/6/ katika tamasha la The power of praise Injili Choir Moravian Kahama turlibarikiwa sana Milumbani TaboraMcwt Milumbani Tabora

Address

Tvohs 52
Shinyanga
12

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TVOHS Moravian Kahama posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share