Patie Mkongo

Patie Mkongo KWA HABARI ZA KIJAMII, MICHEZO NA BURUDANI

02/06/2024

USIVAE PETE K**A HUJUI MAANA YAKE ,UTAFIRISIKA!


"Mafanikio sio ufunguo wa furaha. Furaha ndiyo ufunguo wa mafanikio. K**a unapenda kile unachokifanya, utafanikiwa." ~ A...
24/04/2024

"Mafanikio sio ufunguo wa furaha. Furaha ndiyo ufunguo wa mafanikio. K**a unapenda kile unachokifanya, utafanikiwa." ~ Albert schweitzer

Sababu moja wapo ya msongo wa mawazo ni pamoja na wewe kujilaumu Kwa fursa unazozikosa, kujilaumu na kusemwa sababu ya w...
22/04/2024

Sababu moja wapo ya msongo wa mawazo ni pamoja na wewe kujilaumu Kwa fursa unazozikosa, kujilaumu na kusemwa sababu ya woga wako,
NB..Epuka kujilaumu badala yake jifunze.

EID MUBARAK🙏🙏
10/04/2024

EID MUBARAK🙏🙏

04/04/2024

KWA MATUKIO YA KIJAMII NA DONDOO ZA HABARI TANZANIA HUSUSANI JIMBO LA MSALALA

Ungana na Familia yetu ya Mjasilia Tv Kwa kubonyeza link chini.👇🏽
https://whatsapp.com/channel/002




Mjasilia Tv ©2024

MWENGE WA UHURU NDANI YA WILAYA YA SIHA  •Dondoo za Habari______________________________________________MWENGE wa  Uhuru...
04/04/2024

MWENGE WA UHURU NDANI YA WILAYA YA SIHA

•Dondoo za Habari
______________________________________________
MWENGE wa Uhuru umepokelewa wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro ambapo unatarajiwa kuzindua miradi sita yenye thamani ya Bilioni 6.933. Soma https://whatsapp.com/channel/002




Mjasilia Tv © 2024

"Nataka niwaombe Jambo moja tu ndugu zangu ,nataka tuwe Kakola moja, kwa Sasa tuzungumze habari za Maendeleo ,hoja zote ...
16/02/2024

"Nataka niwaombe Jambo moja tu ndugu zangu ,nataka tuwe Kakola moja, kwa Sasa tuzungumze habari za Maendeleo ,hoja zote zilizotolewa hapa na Wananchi niukweli na sisi viongozi tunachangamoto,nataka tukienda kwenye kamati ya Baraza niwahoji viongozi changamoto walizozisikia kwa wananchi. Wenyekiti wa vijiji someni mapato na matumizi" - Mh. Idd Kassim Idd Mbunge Jimbo la Msalala.
Akizungumza katika Mkutano na Wananchi wa Kata ya Bulyanhulu Kijiji cha Kakola

16/02/2024
MKUTANO WA MBUNGE JIMBO LA MSALALA IDD KASSIM IDD.
16/02/2024

MKUTANO WA MBUNGE JIMBO LA MSALALA IDD KASSIM IDD.

MKUTANO WA MBUNGE IDD KASSIM IDD KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI WA KATA YA BULYANHULU
16/02/2024

MKUTANO WA MBUNGE IDD KASSIM IDD KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI WA KATA YA BULYANHULU

Kila ifikapo Tarehe 14 mwezi wa pili Dunia inaazimisha siku ya wapendanao.Mwaka huu imekuwa tofauti kidogo kwa Msalala T...
14/02/2024

Kila ifikapo Tarehe 14 mwezi wa pili Dunia inaazimisha siku ya wapendanao.

Mwaka huu imekuwa tofauti kidogo kwa Msalala Tv ambao wamesherehekea na watoto yatima waliopo Shule ya Msingi Bugarama. Msalala Tv wametoa , Sukari,dawa za mswaki na miswaki, Sabuni za vipande na za unga ,Madaftari (peni&penseli) ,Juice, na P**i K**a njia moja yakuwapa tabasamu watoto wetu.

Msalala Tv wameungwa mkono na wadau wamaendeleo ya Jamii, K**a vile HAPPY TALENTS PROMOTION ,KING MAPUNG'O KAMPUNI YA MJASILIA, MASOY ELECTRICAL, ELISHA SPEAR PARTS, MUDYLIZER FASHION na wadau wengine wengi katika kusapoti Jambo hili la kijamii

Tukio hili pia lilipata baraka zote kutoka Serikalini ,ambapo Diwani kata ya Bugarama Bi.Priscah, Mwenyekiti wa Kitongoji Buyange, Afisa Maendeleo kata ya Bugarama Bi.Annah Mwakalinga wote waliudhuria katika tukio hili lakuwapa Furaha watoto wetu chini ya Kauli mbiu "MTOTO WAKO MTOTO WETU".

'o .

"WANATUMIA GARI ZA SERIKALI AMBAZO ZINGEKWENDA KUTATUA MIGOGORO,WANATUMIA MAFUTA YA SERIKALI AMBAYO YANGEKWENDA KUTATUA ...
13/02/2024

"WANATUMIA GARI ZA SERIKALI AMBAZO ZINGEKWENDA KUTATUA MIGOGORO,WANATUMIA MAFUTA YA SERIKALI AMBAYO YANGEKWENDA KUTATUA MIGOGORO WANAANZA KWENDA KUTAFUTA KURA".-Mh.IDD KASSIM IDD Mbunge Jimbo La Msalala

Watch, follow, and discover more trending content.

Mfanyabiashara na mkurugenzi wa kampuni ya Mjasilia Bwana Hamis Juma Shaban akiweka Saini kwenye kitabu Cha maombolezo n...
13/02/2024

Mfanyabiashara na mkurugenzi wa kampuni ya Mjasilia Bwana Hamis Juma Shaban akiweka Saini kwenye kitabu Cha maombolezo nyumbani kwa marehemu Lowasa.



🙏

Wananchi Kata ya Isaka wakielezea Kero zao mbele ya Mbunge Jimbo la Msalala Mh. Idd Kassim Idd.Moja ikiwa ninmvutano uli...
09/02/2024

Wananchi Kata ya Isaka wakielezea Kero zao mbele ya Mbunge Jimbo la Msalala Mh. Idd Kassim Idd.

Moja ikiwa ninmvutano uliopo ndani ya Chama Cha Mapinduzi kata ya Isaka.

Kero nyingine ni Utendaji kazi wa viongozi kwa wananchi.

Kituo cha Afya Isaka   kimekabidhiwa leo tarehe 09/02/2024, gari la wagonjwa ( Ambulance) na Mbunge Jimbo la Msalala Mh....
09/02/2024

Kituo cha Afya Isaka kimekabidhiwa leo tarehe 09/02/2024, gari la wagonjwa ( Ambulance) na Mbunge Jimbo la Msalala Mh. Idd Kassim Idd.

Mbunge wa Jimbo la Msalala Mh.Idd Kassim Idd akiwa Katika Mkutano wa Hadhara Kata ya Isaka   Jimbo la Msalala. Kubwa zai...
09/02/2024

Mbunge wa Jimbo la Msalala Mh.Idd Kassim Idd akiwa Katika Mkutano wa Hadhara Kata ya Isaka Jimbo la Msalala.

Kubwa zaidi kusikiliza kero Mbalimbali za wananchi na kukabidhi gari la wagonjwa ( Ambulance) Kituo cha Afya
Isaka.




08/02/2024

Watch, follow, and discover more trending content.

Address

Shinyanga

Opening Hours

09:00 - 17:00
18:00 - 19:00

Telephone

+255654105732

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Patie Mkongo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share