BlaQ Tv

BlaQ Tv ENTERTAINMENT & INFORMATION

22/07/2025
Nakukalibisha Kusikiliza Wimbo Wangu Mpya Uitwao TEAMO Gusa Link             👇👇👇 https://youtu.be/fMzKHgiaYsk?si=eCCaNON...
26/06/2025

Nakukalibisha Kusikiliza Wimbo Wangu Mpya Uitwao TEAMO Gusa Link
👇👇👇

https://youtu.be/fMzKHgiaYsk?si=eCCaNON1B-An_utu

Pia Usisahau Ku subscribe kushea Na Kucoment Shukrani Kwa Sapoti Yako
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

Miaka kadhaa imepita sasa tangu msanii wa k**e wa lebbel ya Wasafi Qeen darleen ambaye pia ni dada wa diamond platnumz t...
17/06/2025

Miaka kadhaa imepita sasa tangu msanii wa k**e wa lebbel ya Wasafi Qeen darleen ambaye pia ni dada wa diamond platnumz tangu aachie wimbo wowote au kushirikishwa jambo ambalo limeibua maswali mengi lakini pia inasemekana tangu sakata la diamond na Mzee Abdul diamond alianza kupunguza ukaribu na ndugu yake huyo na Wala hamzingatii k**a ilivyokuwa kwa ndugu zake wengine wakina Esma dangote, Ricardo Momo,Don Fumbwe na Rommy Jon's

Unadhani kwa Nini diamond kamchunia Qeen..?

Baada ya kuachia rasmi EP yake mpya "Room Number 3", msanii wa Bongo Fleva  Mbosso, ameamua kusikia maoni ya mashabiki w...
17/06/2025

Baada ya kuachia rasmi EP yake mpya "Room Number 3", msanii wa Bongo Fleva Mbosso, ameamua kusikia maoni ya mashabiki wake moja kwa moja kutoka mtaani.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mbosso ameandika:

“Nipe ripoti kutoka mtaani kwako, kazini kwako au maskani kwako... Wanase maje kuhusu Room Number 3?”

  Je, unadhani ni timu gani itaizuia hii PSG kuchukua hili kombe?⏰FT: PSG 4-0 Atletico Madrid      TV
17/06/2025

Je, unadhani ni timu gani itaizuia hii PSG kuchukua hili kombe?

⏰FT: PSG 4-0 Atletico Madrid

TV

Tumpe Mauwa Yake Kijana
10/06/2025

Tumpe Mauwa Yake Kijana

Neno 1 Kwa Wanandoa
10/06/2025

Neno 1 Kwa Wanandoa

Tuongee Mpira Unamkubari Yupi?
10/06/2025

Tuongee Mpira Unamkubari Yupi?

Address

Shinyanga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BlaQ Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share