Agape Upendo

Agape Upendo Welcome all

09/04/2024

Never be afraid to start over again, new beginnings sometimes bring the best changes to your life.

09/04/2024

Teach your children to pray so if their little hearts feel heavy they can go to God and not the world.

18/12/2023

Nakutakia maandalizi mema ya sikukuu za Christmas 🌲 na mwaka mpya
Nawapenda


Hivi ni kweli vijana hawana michongo wanakaa mtaani bure?
17/10/2023

Hivi ni kweli vijana hawana michongo wanakaa mtaani bure?

Sala ya kufukuza Ndoto mbaya/Maono mabaya Usiku:Ee Mungu uliyeumba kila kitu chema, nakuomba hima uje kunisaidia muda hu...
11/10/2022

Sala ya kufukuza Ndoto mbaya/Maono mabaya Usiku:
Ee Mungu uliyeumba kila kitu chema, nakuomba hima uje kunisaidia muda huu ninapovamiwa na ndoto na maono mabaya. Umtume malaika wako wa amani na kwa utakatifu wa mtumishi wako Mtakatifu Rita, ndoto hizi/maono haya yatoweke mara na usingizi mwororo unijie, Amina.

Kiondo Media Tz

Sala kabla ya Kulala:Eeh Mungu, nakushukuru kwa sababu umenilinda Siku ya leo. Nakuomba unikinge usiku huu na hatari zot...
11/10/2022

Sala kabla ya Kulala:
Eeh Mungu, nakushukuru kwa sababu umenilinda Siku ya leo. Nakuomba unikinge usiku huu na hatari zote za roho na za mwili, najuta sana makosa yangu yote, ee Bwana wangu mwema mikononi mwakao naiweka roho yangu. Amina.
Moyo Mtakatifu wa Yesu Unihurumie..

Kiondo Media Tz

Wakati wa kwenda Kulala.Ee Mungu wangu, pokea  Roho yangun, kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo aliyesulubiwa. Ninalala i...
11/10/2022

Wakati wa kwenda Kulala.

Ee Mungu wangu, pokea Roho yangun, kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo aliyesulubiwa. Ninalala ili nipumzike. Unibariki Ee Bwana , na unikinge, uniepushe na Kifo cha Ghafla na kisichotarajiwa na hatari za zote pamoja na wewe unilie uzima wa Milele. Amina.


Kiondo Media Tz

Address

Singida
Singida

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Agape Upendo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Agape Upendo:

Share