Warembo wazuri duniani

Warembo wazuri  duniani Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Warembo wazuri duniani, Singida.

26/09/2025

𝐌𝐅𝐔𝐌𝐎 𝐔𝐌𝐄𝐊𝐔𝐁𝐀𝐋𝐈🔰

Wananchi Tukutane kwa 𝐌𝐊𝐀𝐏𝐀 Jumamosi


26/09/2025

Assalamu Alaikum
Katika Imani

26/09/2025



𝐇𝐓⏱️| Young Africans SC 1-0 Pamba Jiji


26/09/2025

Simba Mweusi anafunga bao la tatu.

26/09/2025

Wanahabari Wote Mnakaribishwa


26/09/2025

Tumeanza na ushindi.

26/09/2025

Mtapewa mwili mpya mbinguni tumia hii vile unataka

31/07/2025

K**a unamjua uyu Dada wa kuitwa loves ametangaza kwa sasa ana ujauzito wa miezi....

Tazama picture zake kwenye comment au apa Warembo wazuri duniani

24/06/2025
24/06/2025

Breaking news 🚬@ bora
kutoka kwa YANGA 🐸

24/06/2025

SIMBA WALALA MITINI KIAINA BODI YA LIGI HAWAAMINI

"Mimi ni karimu Boimanda Afisa Habari wa mchezo namba 184 Yanga dhidi ya Simba, tulikuwa na mkutano hapa awamu ya kwanza wamezungumza kocha na nahodha wa Yanga na tumewasikia vizuri.

Kwa mujibu wa ratiba Simba walipaswa kuwa hapa saa 5:30 lakini bahati mbaya sana mpaka sasa hawapatikani kwenye simu kwahiyo tunashindwa kuelewa changamoto ni nini na mpaka sasa hawajatokea.

Na kwakua hili ni jambo la kikanuni na kuna mambo mengine yanapaswa kuendelea basi hatuwezi kukaa hapa mpaka jioni kwahiyo naufunga mkutano huu na k**a kuna taarifa nyingine tutapeana."

Anasema Afisa Habari wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara Karimu Boimanda.

Address

Singida
543211

Telephone

0689738387

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Warembo wazuri duniani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share