Ibrahim Hassan Daff

Ibrahim Hassan Daff KARIBU KWENYE PAGE YENYE MAFUNZO YAA KIISLAM 🕌

Kwa sasa...
23/09/2025

Kwa sasa...

23/09/2025

TUMSHUKURU ALLAH KWA KUTU AMSHA SALAMA
ALHAMDULILAH

22/09/2025
Shekh mmoja aliambiwa akiwa njiani, fanya haraka Jengo unaloishi linaungua, na nyumba zote zimeungua.Lakini yule Shekh a...
22/09/2025

Shekh mmoja aliambiwa akiwa njiani, fanya haraka Jengo unaloishi linaungua, na nyumba zote zimeungua.

Lakini yule Shekh alibaki mtulivu, wala hakutetereka akaendelea kutembea kwa utulivu kabisa kana kwamba hajasikia walichomwambia.

Wakampigia kelele maskioni mwake kuonyesha msistizo na kusema:
“Hujasikia tulichokwambia?”

Aka wajibu:
“Haiwezekani nyumba yangu iungue.”

Wakasema:
“Kwa nini? Je, wewe ni tofauti na watu wengine?”

Akasema:
“Hapana, bali mimi niliswali Swala ya Alfajiri kwa jamaa. Nami nina yakini na maneno ya Mtume wangu (rehma na amani zimshukie) aliposema:
‘Atakaye swali Alfajiri kwa jamaa basi atakuwa katika ulinzi wa Allah hadi jioni.’

Na yeyote aliye katika ulinzi wa Allah, ndugu zangu, akiwa na yakini📌 kwa hilo, hakuna kitu chochote duniani kitakachomdhuru yeye wala familia yake, hata moto.

Kisha akasema:
“Ewe Mola wangu wa Haqqi, tufanye tuwe miongoni mwa wanaoswali na kudumu na Swala ya Alfajiri kwa jamaa, yaa Rabb”

Tuwe na yaqini thaabit isiyo na shaka.

Usiache kumswalia Mtume Muhammad (s.a.w)

CHEMSHA BONGO YA QUR'ANI Kwa mujibu wa Qur'ani ni samaki yupi aliyemmeza Nabii Yunus?A: NyangumiB: PapaC: ChewaD: Allah ...
21/09/2025

CHEMSHA BONGO YA QUR'ANI

Kwa mujibu wa Qur'ani ni samaki yupi aliyemmeza Nabii Yunus?

A: Nyangumi
B: Papa
C: Chewa
D: Allah ndiye Anayemjua

N.B-Weka Herufi Tafadhali

Tufanye ibada ndugu zangu duniani tuna pita tuu...
20/09/2025

Tufanye ibada ndugu zangu duniani tuna pita tuu...

Allah atudumishe sote ktk ibada ya swala 5
20/09/2025

Allah atudumishe sote ktk ibada ya swala 5

20/09/2025

Ukumbusho ..👌🏻👌🏻 ゚viralシfypシ゚viralシal

20/09/2025

MWISHO WA MWANADAMU NI..???

12/03/2025

Address

Singida

Opening Hours

09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ibrahim Hassan Daff posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share