Mwl Esau

Mwl Esau Father
Born again Christian

Kila siku ni  mpya Nyakati hubadilika ila badiliko lake lazima liwe chanya kwako.
23/05/2026

Kila siku ni mpya
Nyakati hubadilika ila badiliko lake lazima liwe chanya kwako.

Biashara ya kwenye karatasi wakati mwingine ni rahisi sana πŸ˜‚πŸ˜‚
13/05/2026

Biashara ya kwenye karatasi wakati mwingine ni rahisi sana πŸ˜‚πŸ˜‚

13/05/2026

Msibani

ZABURI YA SIKUπŸ™Zaburi 103:1-51 Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana. Naam, vyote vilivyo ndani yangu Vilihimidi jina lake taka...
07/05/2026

ZABURI YA SIKUπŸ™

Zaburi 103:1-5
1 Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana. Naam, vyote vilivyo ndani yangu Vilihimidi jina lake takatifu.

2 Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana, Wala usizisahau fadhili zake zote.

3 Akusamehe maovu yako yote, Akuponya magonjwa yako yote,

4 Aukomboa uhai wako na kaburi, Akutia taji ya fadhili na rehema,

5 Aushibisha mema uzee wako, Ujana wako ukarejezwa k**a tai;

Kila hatua uliyonayo leo ilianza kuandaliwa na jana.Sasa kumbuka hatua yako leo ndio intergenerational kesho yako uliyo ...
05/05/2026

Kila hatua uliyonayo leo ilianza kuandaliwa na jana.
Sasa kumbuka hatua yako leo ndio intergenerational kesho yako uliyo bora,
Chunguza hatua zako ujue kesho yako unaiharibu au unaiweke kuwa bora

Ukimaliza kumuombea mwenzio afeli kwenye maisha yake,basi usiache kuwaombea pia wanaomtegemea wapate mtu mwingine wa kuw...
28/04/2026

Ukimaliza kumuombea mwenzio afeli kwenye maisha yake,

basi usiache kuwaombea pia wanaomtegemea wapate mtu mwingine wa kuwasaidia.*

Kwa chuki zenu, na ugomvi wenu mmejikuta mkiua ndoto nyingi sana za wasio na HATIA..

Mnakata shina kwasababu ya ubaya wa Jani. So sadπŸ™Œ

Jamani naomba msaada wa kuelekezwaa hii kitu maana siielewiii πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²
23/04/2026

Jamani naomba msaada wa kuelekezwaa hii kitu maana siielewiii πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²

With Sue Pease – I just got recognised as one of their top fans! πŸŽ‰
20/04/2026

With Sue Pease – I just got recognised as one of their top fans! πŸŽ‰

With Esau Mgongolwa – I just got recognised as one of their top fans! πŸŽ‰
20/04/2026

With Esau Mgongolwa – I just got recognised as one of their top fans! πŸŽ‰

With Robert Mwangi – I just got recognised as one of their top fans! πŸŽ‰
20/04/2026

With Robert Mwangi – I just got recognised as one of their top fans! πŸŽ‰

Address

Box 337 Songea
Songea
00000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwl Esau posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share