
15/05/2025
BEΕKANE WAFUTA TANGAZO LAO LAKUCHEZA MECHI ZANZIBAR
Baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa mechi ya fainali ya pili kombe la shirikisho baraniafrika itachezwa visiwani zanzibar kupitia ukurasa wao berkane walipost tangazo kuwa mechi itachezwa zanzibar ghafla wamefuta post hiyo baada ya timu ya Simba SC Tanzania kuja juu na kuonesha kuwa hawapo tayari kucheza zanzibar