Zanzibari Yetu

Zanzibari Yetu Jukwaa la mawasiliano kwa wapenda habari popote walipo duniani
Karibuni sana kwenye ukurasa huu, tuhabarishane

Warioba awasuta kwa Nyerere, vurugu zaibuka http://wp.me/p2Hr2P-4GZ
03/11/2014

Warioba awasuta kwa Nyerere, vurugu zaibuka http://wp.me/p2Hr2P-4GZ

Dar es Salaam. Waziri Mkuu wa zamani, Jaji Joseph Sinde Warioba jana alivamiwa na kikundi cha watu wachache waliohudhuria mdahalo wa Katiba wakati akihoji vitendo vya baadhi ya watu kutumia vibaya jina la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere. [ 401 more words. ]

Wapinzani waseme ‘haya twende’ http://wp.me/p2Hr2P-4GU
02/11/2014

Wapinzani waseme ‘haya twende’ http://wp.me/p2Hr2P-4GU

MTOTO anapozaliwa hutoa kilio na anapochelewa kufanya hivyo huonekana kuwa sio jambo la kawaida na kuna kuwepo wasi wasi juu ya hali ya mtoto huyo. Inapotokea mtoto hajatoa hicho kilio, mzazi k**a anajiweza wakati huo au mtu yeyote yule aliyekuwa karibu humpiga vikofi vidogo mtoto huyo kwenye makalio au mapaja ili alie. [ 1023 more words. ]

Nahodha afunguka Zanzibar http://wp.me/p2Hr2P-4GQ
02/11/2014

Nahodha afunguka Zanzibar http://wp.me/p2Hr2P-4GQ

Zanzibar: Wakati Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), ikitimiza miaka minne, Waziri Kiongozi Mstaafu wa awamu ya sita, Shamsi Vuai Nahodha amesema ipo haja ya kuendelea kuwa na umoja huo kwa vile sababu zilizofanya kuundwa kwa Serikali shirikishi ya vyama vya CCM na CUF bado zipo. [ 343 more words. ]

Lipumba: Kwanza CCM ing’oke, ruzuku baadaye http://wp.me/p2Hr2P-4GI
31/10/2014

Lipumba: Kwanza CCM ing’oke, ruzuku baadaye http://wp.me/p2Hr2P-4GI

Dar es Salaam. Wakati Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi akisema suala la ruzuku na viti maalumu ni changamoto kwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema hicho si kipaumbele. [ 338 more words. ]

CCM msijifunike shuka, tayari kumekucha http://wp.me/p2Hr2P-4GE
31/10/2014

CCM msijifunike shuka, tayari kumekucha http://wp.me/p2Hr2P-4GE

Na Salim Said Salim Kwa kawaida Waingereza huwa hawapokei haraka mabadiliko, iwe katika mfumo wao wa maisha, siasa au mambo mengine. Mwenendo huu huenda ukawa ndio uliopelekea hata kuwepo chama cha siasa cha Wahafidhina (Consevatives) ambacho hivi sasa kiongozi wake David Cameron ni Waziri Mkuu. [ 1265 more words. ]

Jaji Mutungi:Ruzuku ni changamoto kwa Ukawa http://wp.me/p2Hr2P-4Gz
30/10/2014

Jaji Mutungi:Ruzuku ni changamoto kwa Ukawa http://wp.me/p2Hr2P-4Gz

Dar es Salaam. Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amesema Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) unakabiliwa na changamoto kubwa suala la ruzuku. Ingawa hakutaka kuingia kwa undani kuelezea changamoto hiyo, Jaji Mutungi alisema anaona ugumu wa Ukawa katika kushughulikia tatizo hilo, lakini akaongeza kuwa wakati ukifika ofisi yake italizungumza. [ 287 more words. ]

Pambano la Dk Shein, Maalim Seif limeshaanza http://wp.me/p2Hr2P-4Gv
30/10/2014

Pambano la Dk Shein, Maalim Seif limeshaanza http://wp.me/p2Hr2P-4Gv

Zanzibar. Kabla na baada ya kuandikwa kwa Katiba Inayopendekezwa, wananchi wa Zanzibar wamebaki katika kizungumkuti kupambanua, kupima na kupembua ni nani kati ya Rais, Dk Ali Mohamed Shein na Makamu wake wa Kwanza, Maalim Seif Sharif Hamad anasema kweli na kustahili kusikilizwa kwa kina cha ufahamu. [ 545 more words. ]

Rais aipasua kichwa Ukawa 2015 http://wp.me/p2Hr2P-4Gr
29/10/2014

Rais aipasua kichwa Ukawa 2015 http://wp.me/p2Hr2P-4Gr

Dar es Salaam. Baada ya vyama vinne vya upinzani nchini kusaini makubaliano ya kushirikiana pamoja na kusimamisha mgombea mmoja katika chaguzi zote zijazo, umoja huo sasa unakabiliwa na kazi ngumu ya kuweka sawa mambo, ikiwa ni pamoja na mchakato wa kumpata mgombea urais, kabla ya filimbi ya uchaguzi kupulizwa. [ 449 more words. ]

Mbowe:Ukawa sasa ni mbele kwa mbele http://wp.me/p2Hr2P-4Gk
28/10/2014

Mbowe:Ukawa sasa ni mbele kwa mbele http://wp.me/p2Hr2P-4Gk

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kamwe hautarudi nyuma katika makubaliano yaliyofikiwa juzi, likiwamo la kusimamisha mgombea mmoja katika nafasi mbalimbali za uongozi. [ 351 more words. ]

Soma Gazeti lako An-Nuur http://wp.me/p2Hr2P-4Gi
28/10/2014

Soma Gazeti lako An-Nuur http://wp.me/p2Hr2P-4Gi

Kutoka mtuhumiwa Victor hadi kuuawa Yahya Sensei * Afande Liberatus Soma Biblia John 8:32 * "Intelligence Assets” watatusumbua k**a… * Hatupo tayari kusema kweli ili kuwa huru Katiba inayopendekezwa koti linalobana zaidi-Seif * Imekiuka hata misingi ya Muungano Madaktari wachunguza afya za watuhumiwa Keko, DSM * Sheikh Msellem anaendelea vizuri * Jumuia ya Maimamu yawafariji

Address

Stone Town
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zanzibari Yetu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Zanzibari Yetu:

Share