Dele Media Official

Dele Media Official Dele Media Official
Media | News | Entertainment
� Video & Reels
� Tanzania
� DM for collaboration

📌"Hii sasa siyo mechi tena, ni dabi ya dunia! 🌍 Real Madrid vs Man City kwa mara ya 12 na 13 tangu 2019/20. Nani mbabe? ...
27/02/2026

📌"Hii sasa siyo mechi tena, ni dabi ya dunia! 🌍

Real Madrid vs Man City kwa mara ya 12 na 13 tangu 2019/20. Nani mbabe? 🤯

"

🇹🇿!DAR ES SALAAM INAHAMIA ZANZIBAR! 🏝️Wale wazee wa "Nguvu Moja" na "Wananchi" mpooo?! Baada ya Yanga kupiga mtu tano (5...
26/02/2026

🇹🇿!DAR ES SALAAM INAHAMIA ZANZIBAR! 🏝️

Wale wazee wa "Nguvu Moja" na "Wananchi" mpooo?! Baada ya Yanga kupiga mtu tano (5-0) jana, na Simba kutoa sare kule Dodoma, sasa hivi mjadala ni mmoja tu: Machi 1, New Amaan Complex!

Yanga wanakuja na fomu yao ya "u-nyama", kila mtu anaguswa! Wakati

Simba wanajipanga kurudisha heshima na kumpoza Mnyama.

Zanzibar pameshachafuka, tiketi zinatafutwa k**a dhahabu!

• Yanga SC: Wameshakaa kileleni, wanakwambia "Sisi hatubahatishi".

• Simba SC: Wanakwambia "Dabi ina mambo yake", Dodoma ilikuwa tu sehemu ya mazoezi.

Je, nani atatoka na kicheko kule visiwani? Zenji itapakaa Rangi Nyekundu au Kijani?

Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA)Kimataifa, hatua ya mtoano (playoffs) imekamilika usiku wa kuamkia leo:• Real Madrid, PSG, ...
26/02/2026

Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA)

Kimataifa, hatua ya mtoano (playoffs) imekamilika usiku wa kuamkia leo:

• Real Madrid, PSG, na Atalanta wamefuzu rasmi hatua ya 16 bora.

• Real Madrid waliifunga Benfica 2-1 (Jumla 3-1), huku PSG wakipita kwa tabu dhidi ya Monaco (Jumla 5-4).
📌

25/02/2026

25/02/2026

Achraf Hakimi, beki wa Paris Saint-Germain, yupo kwenye headlines baada ya ripoti kutoka Ufaransa kudai kuwa kesi yake ya zamani inayomhusu madai mazito inaendelea kwenye hatua za kisheria.

👉 Mchezaji anakana tuhuma zote, na amesema anaamini haki itapatikana.
👉 Klabu yake haijatoa adhabu yoyote hadi sasa, ikisisitiza kufuata taratibu za kisheria.
👉 Mashabiki mitandaoni wamegawanyika: wengine wanasema “haki kwanza”, wengine “subiri ukweli”.

📌 Kwa sasa:
Hakuna hukumu rasmi, mchakato bado unaendelea.

🗣️ Wewe k**a shabiki unasemaje —
👉 Mchezaji asubiri hukumu akiwa uwanjani au akae nje kwanza?





Mara ya mwisho klabu ya Norway kufika hatua za mtoano (knockout stage) kwenye UEFA Champions League au European Cup, ili...
25/02/2026

Mara ya mwisho klabu ya Norway kufika hatua za mtoano (knockout stage) kwenye UEFA Champions League au European Cup, ilikuwa miaka 38 iliyopita.

👉 Sasa Bodø/Glimt wanafanya kitu kikubwa sana —
wanaiweka Norway tena kwenye ramani ya soka la Ulaya 🇳🇴🔥

Naam 📌



24/02/2026
24/02/2026

🤓🤓🤓

KABLA hujafunga ndoa, jifunge wewe kwanza.📌Uwe na hela ya jasho, sio ya kubahatisha.Usingoje mke akujenge—jijenge kwanza...
23/02/2026

KABLA hujafunga ndoa, jifunge wewe kwanza.📌

Uwe na hela ya jasho, sio ya kubahatisha.
Usingoje mke akujenge—jijenge kwanza.

Control hasira, tamaa na marafiki wa hovyo.

Maana ndoa si mchezo wa draft,
ukiingia bila maandalizi… unachezwa.📌

23/02/2026

Address

Sumbawanga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dele Media Official posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share