Tabora Kumekucha

Tabora Kumekucha News/Trending Stories/ Entertainment & Football News โ€ผ๏ธ
๐Ÿ“ฒ+255693 878 611

*Tunakutangazia Biashara yako inchi Zima Facebook na Instagram..

Mwanamieleka maarufu duniani, Hulk Hogan, amefariki dunia.Hogan, ambaye alikuwa mmoja wa nyota wakubwa na wenye ushawish...
24/07/2025

Mwanamieleka maarufu duniani, Hulk Hogan, amefariki dunia.
Hogan, ambaye alikuwa mmoja wa nyota wakubwa na wenye ushawishi katika historia ya mieleka, alijulikana kwa sauti yake ya kipekee, misuli ya kutisha, na kauli mbiu yake maarufu: "Whatcha gonna do when Hulk**ania runs wild on you?..

โ€ผ๏ธ๐Ÿ”ฅ

Chikola, anayejulikana kwa kasi, ustadi na miguu ya kushoto yenye maajabu, anakuwa mchezaji wa pili kutangazwa na Yanga ...
22/07/2025

Chikola, anayejulikana kwa kasi, ustadi na miguu ya kushoto yenye maajabu, anakuwa mchezaji wa pili kutangazwa na Yanga msimu huu, akiungana na Moussa Balla Conte ambaye naye tayari ameshasajiliwa.

Usajili huu unaashiria dhamira ya Yanga kuimarisha kikosi chao kuelekea msimu mpya wa mashindano ya ndani na kimataifa.

Klabu ya Yanga imethibitisha Kumuongezea Mkataba wa Miaka Miwili Kiungo wa box to box  mpaka Mwaka 2027. โ€ผ๏ธ๐Ÿ”ฅ
22/07/2025

Klabu ya Yanga imethibitisha Kumuongezea Mkataba wa Miaka Miwili Kiungo wa box to box mpaka Mwaka 2027.

โ€ผ๏ธ๐Ÿ”ฅ

Nahodha wa Simba SC, Mohamed Hussein maarufu k**a "Tshabalala", amethibitisha kuondoka rasmi ndani ya kikosi hicho baada...
19/07/2025

Nahodha wa Simba SC, Mohamed Hussein maarufu k**a "Tshabalala", amethibitisha kuondoka rasmi ndani ya kikosi hicho baada ya mkataba wake kumalizika.

Tshabalala, ambaye amehudumu kwa muda mrefu akiwa sehemu muhimu ya timu hiyo, ameagana na Wekundu wa Msimbazi huku akiacha kumbukumbu ya mchango mkubwa uwanjani na nje ya uwanja.

Lamine Yamal sasa ndiye mchezaji mpya wa Barcelona anayevikwa jezi namba 10 โ€” jezi yenye heshima kubwa iliyowahi kuvaliw...
16/07/2025

Lamine Yamal sasa ndiye mchezaji mpya wa Barcelona anayevikwa jezi namba 10 โ€” jezi yenye heshima kubwa iliyowahi kuvaliwa na magwiji k**a Lionel Messi, Ronaldinho na Rivaldo. ๐Ÿ˜ˆ๐Ÿ‘

Kijana huyu mwenye umri wa miaka 17 ameendelea kuvutia dunia kwa kiwango chake cha juu licha ya umri mdogo, na sasa klabu imemzawadia jukumu hilo kubwa k**a ishara ya imani kwa kipaji chake cha kipekee.

:CHELSEA 3-0 PSGโšฝ๏ธCole Palmer  22โ€โšฝ๏ธCole Palmer 30โ€โšฝ๏ธJoao Pedro  43โ€FIFA CLUB WORLD CUP 2025 FINAL๐ŸŸ MetLife Stadium โ€ผ๏ธ๐Ÿ”ฅ
13/07/2025

:CHELSEA 3-0 PSG

โšฝ๏ธCole Palmer 22โ€
โšฝ๏ธCole Palmer 30โ€
โšฝ๏ธJoao Pedro 43โ€

FIFA CLUB WORLD CUP 2025 FINAL

๐ŸŸ MetLife Stadium

โ€ผ๏ธ๐Ÿ”ฅ

Mshambuliaji kutoka Cameroon, W***y Onana, amesaini mkataba wa miaka miwili na klabu ya CS Sfaxien ya Tunisia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณโœ๏ธBaada ...
12/07/2025

Mshambuliaji kutoka Cameroon, W***y Onana, amesaini mkataba wa miaka miwili na klabu ya CS Sfaxien ya Tunisia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณโœ๏ธ

Baada ya kucheza katika ligi za Cameroon, Rwanda, Tanzania na Libya โ€” sasa anaanza ukurasa mpya nchini Tunisia.

Klabu ya Singida Black Stars imemtangaza rasmi kurejea nyumbani beki wao wa zamani, Kelvin Kijili, akitokea Simba SC ali...
10/07/2025

Klabu ya Singida Black Stars imemtangaza rasmi kurejea nyumbani beki wao wa zamani, Kelvin Kijili, akitokea Simba SC alikocheza kwa msimu mmoja pekee. Rejeo hilo linaongeza nguvu kwenye safu ya ulinzi ya timu hiyo kuelekea msimu mpya wa mashindano.

โ€ผ๏ธ๐Ÿ”ฅ

Wa kumzuia PSG ni yanga tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ โ€ผ๏ธ๐Ÿ”ฅ
09/07/2025

Wa kumzuia PSG ni yanga tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

โ€ผ๏ธ๐Ÿ”ฅ

Madrid wanalalamika wanacheza na timu Tatu PARIS, SAINT na GERMAIN ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
09/07/2025

Madrid wanalalamika wanacheza na timu Tatu PARIS, SAINT na GERMAIN
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Aishi Salum Manula Kipa wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars  ameondoka Simba SC na kurejea Azam FC kwa kusaini Mkat...
09/07/2025

Aishi Salum Manula Kipa wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars ameondoka Simba SC na kurejea Azam FC kwa kusaini Mkataba wa miaka mitatu (2028), Manula aliondoka Azam FC 2017 na kwenda kuitumikia Simba SC kwa miaka nane.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255768281793

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tabora Kumekucha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share