πŸ…ΊοΈŽπŸ…οΈŽπŸ…ΉοΈŽπŸ†„οΈŽπŸ…‘οΈŽπŸ…ΈοΈŽ 𝐭𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐒𝐚𝐧 𝐩𝐫𝐒𝐧𝐜𝐞

  • Home
  • Tanzania
  • Tabora
  • πŸ…ΊοΈŽπŸ…οΈŽπŸ…ΉοΈŽπŸ†„οΈŽπŸ…‘οΈŽπŸ…ΈοΈŽ 𝐭𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐒𝐚𝐧 𝐩𝐫𝐒𝐧𝐜𝐞

πŸ…ΊοΈŽπŸ…οΈŽπŸ…ΉοΈŽπŸ†„οΈŽπŸ…‘οΈŽπŸ…ΈοΈŽ 𝐭𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐒𝐚𝐧 𝐩𝐫𝐒𝐧𝐜𝐞 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from πŸ…ΊοΈŽπŸ…οΈŽπŸ…ΉοΈŽπŸ†„οΈŽπŸ…‘οΈŽπŸ…ΈοΈŽ 𝐭𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐒𝐚𝐧 𝐩𝐫𝐒𝐧𝐜𝐞, Tabora.

𝐈 π€πŒ β˜…π•‚π”Έπ•π•Œπ”Ήπ•€ 𝕋𝔸ℕ℀𝔸ℕ𝕀𝔸ℕ β„™β„π•€β„•β„‚π”Όβ˜… π†πˆπ…π“π„πƒ 𝐀𝐍𝐃 πŒπ”π‹π“πˆβ˜…π“π€π‹π„ππ“π„πƒ π‚πŽππ“π„ππ“ π‚π‘π„π€π“πŽπ‘ 𝐈𝐍 π€π…π‘πˆπ‚π€π π„πŒππˆπ‘π„ ...πŸ‡ΉπŸ‡Ώ 𝐈n 𝐆od 𝐈 𝐓rust, 𝐈n brain 𝐈 𝐒nvest, to 𝐃eliver 𝐒omething 𝐁est βœ…

Kiungo wa Uganda, Khalid Aucho, ametambulishwa akiwa ndani ya jezi ya Sidama Bunna FC ya Ethiopia baada ya kujiunga na k...
28/08/2026

Kiungo wa Uganda, Khalid Aucho, ametambulishwa akiwa ndani ya jezi ya Sidama Bunna FC ya Ethiopia baada ya kujiunga na klabu hiyo akitokea Singida Black Stars.

Aucho amesajiliwa kuongeza nguvu na uzoefu katika kikosi cha Sidama Bunna, hasa kutokana na klabu hiyo kushiriki kwa mara ya kwanza katika CAF Champions League.

Usajili huo unatarajiwa kuongeza uzoefu katika kikosi cha Sidama Bunna kuelekea changamoto za mashindano ya ndani na kimataifa.



Real Madrid wametibu sehemu ambapo hawana tatizo Password ilikuwa ni RODRI (Deep playmaker) wao wameenda kuleta Diomande...
28/08/2026

Real Madrid wametibu sehemu ambapo hawana tatizo

Password ilikuwa ni RODRI (Deep playmaker) wao wameenda kuleta Diomande kwa Β£140m

Imagine hii midfield ya Valverde-Bellingham-Silva wamecheza dakika 45 hakuna kiungo amekamilisha pass walau 30πŸ’”

Huwezi kushindana na Barca kwa Aina hii ya midfield,huwezi kushindana kwenye big stage na hivi viungo vinavyoogopa kuutafuta na kuuchezea mpira

Ile jeuri ya kukataa deal la Enzo,Ile jeuri ya kumchukulia poa RODRI mwisho wake ni Mourinho kufukuzwa

Timu imeoza hiiπŸ˜‚πŸ’”

Barca Bingwa

USHAURI WANGU KWA MCHEZAJI WA YANGA SC  CHUGA BOY πŸ’šπŸ’›πŸ”₯ Kila siku tunapiga kelele wachezaji wazawa wapewe nafasi ya kuchez...
28/08/2026

USHAURI WANGU KWA MCHEZAJI WA YANGA SC CHUGA BOY πŸ’šπŸ’›πŸ”₯

Kila siku tunapiga kelele wachezaji wazawa wapewe nafasi ya kucheza uwanjani πŸ™ŒπŸ”₯

Kwani tunaamini wazawa ndio hazina ya Taifa letu, na kesho ya timu yetu ya Taifa uwanjani πŸ™ŒπŸ”₯

Kwa bahati nzuri CHUGA BOY amepata bahati ya kukutana na kocha anaependa kufanya rotation kwenye timu πŸ™ŒπŸ”₯

Manqoba Mngqithi kasema ukweli hajataka kuwa mnafiki kusemea pembeni πŸ™ŒπŸ”₯

USHAURI TU
Badilika mdogo wangu, unakipaji kikubwa sana ukipewa nafasi uwanjani tumia ili kesho upewe nafasi zaidi na zaidi πŸ™ŒπŸ”₯

Kumbuka upo Yanga SC timu kubwa duniani, Chama la wananchi πŸ™ŒπŸ”₯

Keep working hard CHUGA BOY πŸ’šπŸ’›πŸ’ͺ

Kuna Ile Save Aliifanya Kwenye Game Ya Juzi Halafu Baada Ya Pale Akamwangalia Boka Nikasema Kazi Ipo Mwishoni Mwa Ule Mc...
28/08/2026

Kuna Ile Save Aliifanya Kwenye Game Ya Juzi Halafu Baada Ya Pale Akamwangalia Boka Nikasema Kazi Ipo Mwishoni Mwa Ule Mchezo Halafu Nikavuta Picha K**a Lile Kosa Angea Bakari Sijui Ingekuaje, Sijui Nini Kingetokea.

Nakumbuka Msimu Uliopita Diarra Alifanya Save K**a Zile Nyingi Sana Na Hapo Ndio Unapopatika Utofauti Kati Yake Na Makipa Wengine, Honestly Sidhani K**a Kuna Kipa Mwingine Anaweza Kufanya Kitu K**a Kile Na Hii Sio Bongo Tu Ni Afrika Nzima Sioni Kipa Anaweza Kufanya Vile Kwa Saidi Ya Mara Saba.

Diarra Alifanya Zidi Ya Ateba, AKafanya Dhidi Ya Mpanzu Na Akfanya Tewna Dhidi Ya Kibu Deni, Akafanya Dhidi Ya Mbeya City Msimu Uliopita, Akafanya Tena Pale Dodoma Msimu Uliopita Na Akafanya Tena Msimu Huu Dhidi Ya JKT, Kwenye Ligi Hii Daraja Lake Ni Kubwa Sana.

FC................???
28/08/2026

FC................???

Mbappe's position
28/08/2026

Mbappe's position

Liverpool officially has unveil their kitβœ…
28/08/2026

Liverpool officially has unveil their kitβœ…

Zinedine zidane zizuu was spotted at barnabeu
28/08/2026

Zinedine zidane zizuu was spotted at barnabeu

Hatuna timu hapa
28/08/2026

Hatuna timu hapa

What a moment to chelsea
28/08/2026

What a moment to chelsea

Address

Tabora

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when πŸ…ΊοΈŽπŸ…οΈŽπŸ…ΉοΈŽπŸ†„οΈŽπŸ…‘οΈŽπŸ…ΈοΈŽ 𝐭𝐚𝐧𝐳𝐚𝐧𝐒𝐚𝐧 𝐩𝐫𝐒𝐧𝐜𝐞 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share