Pama online

Pama online Ukurasa huu ni maalumu kwaajili ya habari na burudani za matukio mbalimbali ikiwemo michezo ndani na nje ya nchi.

πŸ“Ά K**a umekuwa na changamoto ya uzazi yaani umetafuta mtoto kwa muda mrefu na haujafanikiwa basi pata USHAURI KWANZA WA ...
03/09/2026

πŸ“Ά K**a umekuwa na changamoto ya uzazi yaani umetafuta mtoto kwa muda mrefu na haujafanikiwa basi pata USHAURI KWANZA WA TATIZO LAKO ndo uanze kutumia dawa. piga simu 0676298270 utapewa ushauri BURE .

Na hii ni packege ya mfumo mzima wa uzazi ambayo inapatikana TOPTEN HERBS CLINIC.
Unaweza ukaniachia ujumbe kwa maelezo zaidi.

03/09/2026

Hapa ndio utaanza kupata majibu ya uongozi wa yanga unayofanya kazi. But honestry nimeipenda namna walivyofanya ubunifu wao.

πŸ”₯πŸ”₯πŸ’šπŸ’›

02/09/2026

Askofu Bagonza asikilizwe au tumpuuze?

(Eee Mungu tusaidie tutende yalio mema na tusimamie haki ya kila mmoja wetu.)

29/08/2026

HAPA TULIPEWA VIEW ONCE NA MUNGU DAH!.....

Acha niendelee kuuza dawa kwanza,
k**a unachangamoto ya kiafya yoyote piga simu nikupe USHAURI & TIBA
πŸ“ž+255 676 298 270
πŸ“ž+255 788 496 605

27/08/2026

ITOSHE KUSEMA....
seminary hawajawahi kutoa KILAZA wa kuja kupindisha ukweli, Mwamba ameamua kuheshimu maadili yote aliyowahi kufundishwa na katika uongozi wake binafsi nilimuona alikuwa na misimamo ya kweli na ndo maana kaamua ni bora kupumzika ila sio kutoka kwenye msimamo.

Go and get rest DR. EMMANUEL JOHN NCHIMBI na taifa litakukumbuka kwa uamuzi huu.

Address

Tabora

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pama online posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share