SAIDI TV

SAIDI TV News

*Tupo mbashara kupitia TBC 1, TBC Taifa na TBC Online kwenye mtandao wa YouTube, kukuletea matangazo ya uzinduzi wa mina...
10/04/2026

*Tupo mbashara kupitia TBC 1, TBC Taifa na TBC Online kwenye mtandao wa YouTube, kukuletea matangazo ya uzinduzi wa minara 758, maunganisho ya Mkongo wa Mawasiliano katika wilaya 85 na makabidhiano ya mkongo wa mawasiliano serikalini.*

Soma zaidi๐Ÿ‘‡๐Ÿผ

https://www.instagram.com/p/DW8YuAuCG81/?igsh=MWVwMHE3NHh4eWdh

Leo tunamkumbuka kwa heshima kubwa John Pombe Magufuli, kiongozi aliyegusa mioyo ya wengi kwa matendo yake na kauli zake...
17/03/2026

Leo tunamkumbuka kwa heshima kubwa John Pombe Magufuli, kiongozi aliyegusa mioyo ya wengi kwa matendo yake na kauli zake zenye msukumo ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Miaka 5 imepita tangu utuache, lakini kumbukumbu zako bado zinaishi ndani ya mioyo ya Watanzania. Umetuacha na funzo la kufanya kazi kwa bidii, uzalendo na kujituma kwa ajili ya taifa letu.
โ€œPumzika kwa amani shujaa wa Afrika, urithi wako utaendelea kuishi milele.โ€ ๐Ÿ•Š๏ธ

16/03/2026

follow me please

Address

TABORA
Tabora
000000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SAIDI TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category