22/09/2026
Kidijitali Hub tulipata nafasi ya kushiriki katika Tanga Womenβs Gala kupitia booth yetu ya Kidijitali Hub, tulikutana na wajasiriamali na wafanya biashara mbalimbali, kushirikishana mawazo na kuonesha fursa, huduma na kazi zinazofanyika ndani ya Kidijitali Project.
Hizi ni baadhi ya moments tulizoshiriki kwenye tukio hilo. πΈ
Tunaamini kila connection inaweza kuwa mwanzo wa maarifa mapya, ushirikiano mpya na fursa mpya.
π Sasa tuambie:
Ni jambo gani ungependa kuliona zaidi kwenye matukio k**a hayaβDigital Skills, Networking, Mentorship au Business Opportunities?
π¬ Andika jibu lako kwenye comments.
π₯ Mt tag mwanamke mmoja unayetaka kumuona kwenye safari hii ya kidijitali.
π Na share hii post na mtu ambaye anahitaji fursa k**a hizi.