Habari & Michezo

Habari & Michezo PATA HABARI ZA MICHEZO KITAIFA NA KIMATAIFA HAPA , PIA TANGAZA NASI MATANGAZO YAKO YA AINA MBALIMBALI ⚽🏟️✅🫂

BREAKING 🔴: Tottenham Hotspur wamekamilisha usajili wa kiungo raia wa Uingereza Conor Gallagher kutokea Atlético de Madr...
13/01/2026

BREAKING 🔴: Tottenham Hotspur wamekamilisha usajili wa kiungo raia wa Uingereza Conor Gallagher kutokea Atlético de Madrid.

Gallagher amejiunga na Spurs Kwa dau lenye thamani ya €40m.

FOLLOW US.

🎉Kwa wale wapenzi wa kubeti nimewaletea mkali wa MIKEKA ⚽master Odds💯💯 bofya link🙌 KUJIUNGA na Group Lake🔥🔥 https://chat.whatsapp.com/K5IxbWCRjwl1zIAkUi1umj

🚨 RASMI : Kiungo Mtanzania Awesu Awesu ametambulishwa rasmi na Police FC ya Kenya. Awesu amejiunga na Police FC kwa mkop...
12/01/2026

🚨 RASMI : Kiungo Mtanzania Awesu Awesu ametambulishwa rasmi na Police FC ya Kenya.

Awesu amejiunga na Police FC kwa mkopo wa miezi 6 akitokea Simba SC.
👕 Atavaa jezi namba 33.

Hatua hii inalenga kumpa muda wa kucheza zaidi na kuongeza ushindani wa kikosi cha Police FC msimu huu.

🎉Kwa wale wapenzi wa kubeti nimewaletea mkali wa MIKEKA ⚽master Odds💯💯 bofya link🙌 KUJIUNGA na Group Lake🔥🔥 https://chat.whatsapp.com/K5IxbWCRjwl1zIAkUi1umj

Klabu ya Simba inatarajia kurudi katika uwanja wa mazoezi jioni ya leo huko MO Simba Arena Bunju jijini Dar es salaam kw...
12/01/2026

Klabu ya Simba inatarajia kurudi katika uwanja wa mazoezi jioni ya leo huko MO Simba Arena Bunju jijini Dar es salaam kwa ajili ya kujiandaa na michezo ijayo.

Simba wanafanya hivo baada ya kuondoshwa katika michuano ya Mapinduzi Cup kwenye hatua ya Nusu Fainali dhidi ya Azam FC kisha kurejea Dar es salaam mapema sana.

Timu hiyo kwa sasa inajiandaa kwenye mchezo wao wa tatu wa hatua ya makundi ligi ya mabingwa Barani Afrika dhidi ya Esperance De Tunis kutoka jijini Tunis nchini Tunisia January 23 mwaka huu.

🎉Kwa wale wapenzi wa kubeti nimewaletea mkali wa MIKEKA ⚽master Odds💯💯 bofya link🙌 KUJIUNGA na Group Lake🔥🔥 https://chat.whatsapp.com/K5IxbWCRjwl1zIAkUi1umj

Wachezaji wa Manchester United wanahofia kuwa Bruno Fernandes huenda amefikia mwisho wa subira yake Old Trafford na anaw...
12/01/2026

Wachezaji wa Manchester United wanahofia kuwa Bruno Fernandes huenda amefikia mwisho wa subira yake Old Trafford na anaweza kuondoka klabuni majira ya kiangazi.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 aliwahi kukataa dili la pauni milioni 100 (£100M) kutoka Al Hilal, baada ya kushawishiwa kubaki na aliyekuwa kocha, Ruben Amorim.

Tangu hapo, Fernandes amesisitiza kuwa ataamua hatma ya baadaye yake baada ya Kombe la Dunia la FIFA 2026.

(Chanzo: The Sun)

🎉Kwa wale wapenzi wa kubeti nimewaletea mkali wa MIKEKA ⚽master Odds💯💯 bofya link🙌 KUJIUNGA na Group Lake🔥🔥 https://chat.whatsapp.com/K5IxbWCRjwl1zIAkUi1umj

Hatimaye Manchester United wako tayari kumteua Michael Carrick kuwa kocha wao mpya wa muda (interim), baada ya hatua muh...
12/01/2026

Hatimaye Manchester United wako tayari kumteua Michael Carrick kuwa kocha wao mpya wa muda (interim), baada ya hatua muhimu kupigwa katika mazungumzo kati ya pande zote.

🎉Kwa wale wapenzi wa kubeti nimewaletea mkali wa MIKEKA ⚽master Odds💯💯 bofya link🙌 KUJIUNGA na Group Lake🔥🔥 https://chat.whatsapp.com/K5IxbWCRjwl1zIAkUi1umj

📌📌𝙏𝙍𝘼𝙉𝙎𝙁𝙀𝙍 𝙉𝙀𝙒𝙎:K**a bado unafikiri kuwa Yanga Wana mpango na Elie Mpanzu basi unakosea ndugu, unaambiwa katika majina y...
12/01/2026

📌📌𝙏𝙍𝘼𝙉𝙎𝙁𝙀𝙍 𝙉𝙀𝙒𝙎:

K**a bado unafikiri kuwa Yanga Wana mpango na Elie Mpanzu basi unakosea ndugu, unaambiwa katika majina yaliyoko kwenye meza ya Yanga basi ni huyu dogo Morice Abraham.

Morice Abraham ni Moja ya jina linalo windwa sana katika dirisha dogo la usajili mwezi januari, Yanga Wana fuatilia Kwa karibu kujua mkataba wake ulivyo Ili waweze kuongea na wakala wake.

Muda wowote linaweza kutokea jambo kati ya Morice na Yanga.

🎉Kwa wale wapenzi wa kubeti nimewaletea mkali wa MIKEKA ⚽master Odds💯💯 bofya link🙌 KUJIUNGA na Group Lake🔥🔥 https://chat.whatsapp.com/K5IxbWCRjwl1zIAkUi1umj

 : Mzamiru Yassin (30), amejiunga rasmi na TRA United kwa mkataba wa miaka miwili.Mzamiru ambaye alikuwa amebakiwa na mi...
12/01/2026

: Mzamiru Yassin (30), amejiunga rasmi na TRA United kwa mkataba wa miaka miwili.

Mzamiru ambaye alikuwa amebakiwa na miezi sita kwenye mkataba wake, aliomba kuachwa na Simba SC katika dirisha hili la usajili la Januari 2026 kwa lengo la kutafuta changamoto mpya na kupata nafasi zaidi ya kucheza ili kulinda na kuendeleza kiwango chake.

Anaondoka Simba SC baada ya kutumikia Wekundu wa Msimbazi kwa zaidi ya muongo mmoja, tangu Julai 1, 2016 hadi Januari 2026.

🎉Kwa wale wapenzi wa kubeti nimewaletea mkali wa MIKEKA ⚽master Odds💯💯 bofya link🙌 KUJIUNGA na Group Lake🔥🔥 https://chat.whatsapp.com/K5IxbWCRjwl1zIAkUi1umj

Klabu ya Simba inatarajia kurudi katika uwanja wa mazoezi jioni ya leo huko MO Simba Arena Bunju jijini Dar es salaam kw...
12/01/2026

Klabu ya Simba inatarajia kurudi katika uwanja wa mazoezi jioni ya leo huko MO Simba Arena Bunju jijini Dar es salaam kwa ajili ya kujiandaa na michezo ijayo.

Simba wanafanya hivo baada ya kuondoshwa katika michuano ya Mapinduzi Cup kwenye hatua ya Nusu Fainali dhidi ya Azam FC kisha kurejea Dar es salaam mapema sana.

Timu hiyo kwa sasa inajiandaa kwenye mchezo wao wa tatu wa hatua ya makundi ligi ya mabingwa Barani Afrika dhidi ya Esperance De Tunis kutoka jijini Tunis nchini Tunisia January 23 mwaka huu.

Katika hatua nyingine kikosi hiko kinachonolewa na Mwalimu Steve Barker kinatazama pia kuhusu ratiba ya Ligi kuu Tanzania Bara pale itakaporejea.

Nini maoni yako??🤷‍♂️

🎉Kwa wale wapenzi wa kubeti nimewaletea mkali wa MIKEKA ⚽master Odds💯💯 bofya link🙌 KUJIUNGA na Group Lake🔥🔥 https://chat.whatsapp.com/K5IxbWCRjwl1zIAkUi1umj

Juventus wanafikiria kumsajili Noussair Mazraoui wa Manchester United huku wakiongeza juhudi zao za kutafuta beki mpya w...
12/01/2026

Juventus wanafikiria kumsajili Noussair Mazraoui wa Manchester United huku wakiongeza juhudi zao za kutafuta beki mpya wa kulia, kutokana na ushindani unaoongezeka kutoka kwa vilabu vingine kwenyw vita ya kumsajili Brooke Norton-Cuffy wa Genoa.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 anaaminika kuwa yuko tayari kuondoka Manchester United kutafuta changamoto mpya kuelekea Kombe la Dunia 2026.

Aidha, Sacha Boey wa Bayern Munich pia anaangaliwa na Juventus k**a chaguo jingine.

(Chanzo: Gazzetta dello Sport)

🎉Kwa wale wapenzi wa kubeti nimewaletea mkali wa MIKEKA ⚽master Odds💯💯 bofya link🙌 KUJIUNGA na Group Lake🔥🔥 https://chat.whatsapp.com/K5IxbWCRjwl1zIAkUi1umj

✅🔋 𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘 ⚽️🔥!!Simba SC wamekamilisha usajili wa mshambuliaji kutoka klabu ya San Pedro ya nchini Ivory Coast 🇨🇮.Mche...
12/01/2026

✅🔋 𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘 ⚽️🔥!!

Simba SC wamekamilisha usajili wa mshambuliaji kutoka klabu ya San Pedro ya nchini Ivory Coast 🇨🇮.

Mchezaji huyo ni Dramane K**agate (20), raia wa Ivory Coast, anayekipiga katika klabu ya San Pedro. K**agate ni mshambuliaji wa kati (striker) mwenye kasi kubwa, nguvu na uhatari mkubwa mbele ya lango la wapinzani 🔥⚡

Katika msimu uliopita, K**agate aliibuka kinara wa ufungaji wa Ligi Kuu ya Ivory Coast (Ligue 1) baada ya kufunga mabao 11. Aidha, kwenye mechi 5 za mwisho za msimu huu, amefunga jumla ya mabao 5, akionyesha kiwango bora na mwendelezo mzuri wa ufungaji 🔥

🎉Kwa wale wapenzi wa kubeti nimewaletea mkali wa MIKEKA ⚽master Odds💯💯 bofya link🙌 KUJIUNGA na Group Lake🔥🔥 https://chat.whatsapp.com/K5IxbWCRjwl1zIAkUi1umj

Ahmed Ally 🗣."Mpanzu ni Mchezaji wa Simba kinachoendelea ni watu kujitekenya na Kucheka wenyewe na sijui kwanini Wanasim...
12/01/2026

Ahmed Ally 🗣."Mpanzu ni Mchezaji wa Simba kinachoendelea ni watu kujitekenya na Kucheka wenyewe na sijui kwanini Wanasimba wanaingia kwenye Presha hiyo.

Mpanzu anamchango hatuwezi kuruhusu aondoke Bado anahitajika, Katika Tz hii Hakuna Mchezaji mwenye Talent k**a Mpanzu ndio Maana wanamtolea macho."

🎉Kwa wale wapenzi wa kubeti nimewaletea mkali wa MIKEKA ⚽master Odds💯💯 bofya link🙌 KUJIUNGA na Group Lake🔥🔥 https://chat.whatsapp.com/K5IxbWCRjwl1zIAkUi1umj

Address

Tanga

Telephone

+255753442886

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Habari & Michezo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Habari & Michezo:

Share