Najali Smart Corner

Najali Smart Corner Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Najali Smart Corner, Tanga.

Duka bora la vipodozi jijini Tanga Tanzania tuna patikana tanga mjini Sahare karibu na ukumbi wa B M K mawasiliano namba +255629667755 au +255657513772

instagram account follow 👇
https://www.instagram.com/najali_smart_corner?igsh=ajBzaDJxNTRsdXB5

25/11/2025

Najali smartcorner tunatoa discount ya msimu wa sikukuu kwa product zetu zooooote karibuni sana wapendwa wateja mapenzi yetu kwenu hayaelezeni vipenzi 💕💕💕💕💞💞💞💯

22/11/2025

MICHIRIZI! MICHIRIZI! MICHIRIZI! Moja kati ya tatizo ambalo hauhitaji kua na haraka wakati wa kulitatua vinginevyo utapigwa hela Kila siku bila mafanikio yoyote tulia na uanze taratiibu haiondoki harakaharaka ila kwa utulivu na muendelezo wa muda mrefu wa matumizi ya dawa na body oil za michirizi
Karibu najali tukupe mbinu za kitaalanu 0682 667755 wasiliana nasi tuyajenge
Tunawapenda sana wateja wetu tunawaombea pia mpate matokeo mazury ya ngozi zenu Kila mkija hapa mpate na pesa nyingi mnunue forever marine collagen 🤣🤣🤣🙏🙏💕💕💕

18/11/2025

Njoo ukutane na mtaalamu wa ngozi na matatizo ya ngozi ya kiurembo zaidi kutatua changamoto Yako karibuni sana dukani...
Barabara ya Tanga beach karibu na BMK ukumbi wa sherehe
0682 6677 56 wasiliana na sisi kujua taarifa yoyote unayotaka kujua kuhusu urembo na vipodozi

12/11/2025

Wateja wetu wapendwa! Karibuni NAJALI SMART Corner ✨

Tunauza kwa Jumla (Wholesale) na Reja Reja (Retail). Fanya biashara na sisi au nunua kwa matumizi yako! Tunafanya Delivery Popote Tanzania!🇹🇿

Piga simu sasa:+255 682 667 755 au +255629667755

09/11/2025

Usichelewe!🏃‍♀️🏃‍♂️

Sogea Najali Smart Corner muda huu huu!

Tuna bidhaa mbalimbali za kutosha zenye ubora wa hali ya juu na bei nafuu zinasubiriwa na wewe. Njoo ujione na kuchagua!

Karibuni sana!

08/11/2025

📢 Yam Yam Diaper Sasa Zinapatikana!

Yam Yam Diaper sasa zimefika rasmi kote

1. Najali Smart Corner
2.

Karibuni wote! Jipatie Yam Yam Diaper kwa bei ya Jumla na Rejareja

🔥🔥 BREAKING NEWS kutoka Najali Smart Corner! 🔥🔥MZIGO MPYA wa Bidhaa za Kisasa UMETUA Rasmi!
06/11/2025

🔥🔥 BREAKING NEWS kutoka Najali Smart Corner! 🔥🔥

MZIGO MPYA wa Bidhaa za Kisasa UMETUA Rasmi!

Address

Tanga

Telephone

+255717993896

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Najali Smart Corner posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Najali Smart Corner:

Share