Ytuy

```عدم الرضا قد يفقدك لذة ما تملكKutoridhika kunaweza kukufanya uikose ladha ya kile ulichonacho.`◢◤◢◤◢◤◢◤◢◤◢◤◢◤
07/02/2025

```عدم الرضا قد يفقدك لذة ما تملك

Kutoridhika kunaweza kukufanya uikose ladha ya kile ulichonacho.`

◢◤◢◤◢◤◢◤◢◤◢◤◢◤

TAFUTA HII DAWA.Inatibu Msongo wa Mawazo,Hofu Sugu,Kelele, Malalamiko,Umbea . Mambo yasiyo kuhusu n.k.°Kipimo chamatumiz...
10/09/2024

TAFUTA HII DAWA.
Inatibu Msongo wa Mawazo,Hofu Sugu,Kelele, Malalamiko,Umbea . Mambo yasiyo kuhusu n.k.

°Kipimo chamatumizi: kiwango kisizidi uwezo wako💸

•Pia Inaongeza Kujiamini😂😂

# Mkaytz

04/09/2024

TAIFA STARS ILIANZIA HAPA

Jina la TAIFA STARS, k**a jina rasmi la timu ya taifa ya Tanzania, lilianzia nchini Nigeria kwenye mashindano ya michezo ya Afrika (All Africa Games) ya mwaka 1973.

Timu zote zilizoshiriki zilitakiwa kuwa na majina ya utani kuwapa wigo wa majina watangazaji wa mechi hizo.

Kocha wa Tanzania, Paul West Gwivaha, (marehemu sasa) alipatkiwa kutaja jina la timu yake, akasema “TAIFA STARS”.

Haijulikani alilitoa wapi na hakuwahi kuhojiwa, lakini jina alishalitoa.

Waandaaji wa mashindano wakaliandika hilo jina na kulitumia.

Kwa bahati mbaya sana hakukuwa na TV wakati huo kuonesha mechi hizo hapa nchini…kwa hiyo hakuna aliyelisikia hilo jina lilipotajwa kule.

Timu ilipotoka Nigeria, haikucheza mechi yoyote hadi Aprili 8, 1973 ilippsafiri hadi Addis Ababa kucheza na Ethiopia…ikapoteza 2-1.

Aprili 22, 1973 ilikuwa siku ya mechi ya marudiano na FAT iliamua kuutumia mchezo huo kulitambulisha rasmi nyumbani jina jipya la TAIFA STARS.

Kampeni kubwa ikafanywa kuhamasisha, na watanzania wakahamisika kweli kweli kweli…kuanzia mashabiki hadi wachezaji.

Na hapo ndipo watanzania wakalijua rasmi jina la TAIFA STARS.

Hamasa ikalipa na timu ikiwa na jina jioya la TAIFA STARS, ikashinda 3-0.

Yes, ilikuwa kufuzu AFCON na STARS ikashinda 3-0. Hiki ndicho tunachokitaka leo.

Ni kufuzu AFCON na Stars ishinde 3-0 kwa sababu hii mechi tuna kazi nayo!

Wakati tukisherehemea miaka 41 ya jina la Taifa Stars, tukumbuke tulilipokea jina hili kwa ushindi wa 3-0.

Kila la heri majembe…

follow me

22/08/2024

Address

Tanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ytuy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share