ROBY MEDIA

ROBY MEDIA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from ROBY MEDIA, Tanga.

Creative Media & Digital Solutions ๐Ÿš€
๐ŸŽค Interview | ๐ŸŽจ Graphics Design
๐Ÿ“ข Brand Ambassador
๐ŸŽฅ Content Creators
๐Ÿ“ฑ Digital Marketing & Social Media Management
๐ŸŽ™ Podcast
๐Ÿ“ป M67 RADIO
๐Ÿ“ฉ Business & Promotion
๐Ÿ“ž +255 765 628 658
๐ŸŒ Follow Us Everywhere

๐Ÿ”ฅ EEHE! MNYALUKOLO WA MAKAMBAKO...UPOTAYARI KUUZA K**A PRO! ๐Ÿ˜ŽNA KUNUNUA KISHUA!! ๐Ÿ›’๐Ÿš€Karibu MAKASHOP ๐Ÿ”ฅSoko la kidigitali l...
23/05/2026

๐Ÿ”ฅ EEHE! MNYALUKOLO WA MAKAMBAKO...
UPOTAYARI KUUZA K**A PRO! ๐Ÿ˜Ž
NA KUNUNUA KISHUA!! ๐Ÿ›’๐Ÿš€

Karibu MAKASHOP ๐Ÿ”ฅ
Soko la kidigitali linalowaunganisha wafanyabiashara wa Makambako na wateja wa kila kona! ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

โœ… Nunua kwa bei ya jumla na reja reja
โœ… Oda kwa simu yako
โœ… Delivery mpaka ulipo
โœ… Track mzigo wako LIVE
โœ… Biashara yako iwe DIGITAL!

๐Ÿ“ฒ PAKUA APP SASA
UZA K**A PRO! NUNUA KISHUA! Na MAKASHOP ๐Ÿš€

Powered by ROBYMEDIA โค๏ธ ๐ŸŒ www.makashop.com

23/05/2026

Mbona mmeumia jamani ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š

Je unafahamu Unaweza kutengeneza matangazo yanayouza ukitumia simu yako tu!!!!Kupitia AI Ads Masterclass utajifunza:โœ… Ku...
22/05/2026

Je unafahamu Unaweza kutengeneza matangazo yanayouza ukitumia simu yako tu!!!!

Kupitia AI Ads Masterclass utajifunza:

โœ… Kutengeneza AI videos zinazovutia
โœ… Prompt & scripts zinazofanya watu wanunue
โœ… Voice over za kiwango cha juu
โœ… Editing ya kisasa kwa kutumia AI
โœ… Njia za kupata wateja online na kufunga sales

๐Ÿ’ฐ Hii skill inaweza kukuletea kipato kila mwezi k**a ukiitumia vizuri.

Bei ya kawaida TZS 79,999
LEO ni TZS 19,999 TU

โšก Offer hii sio ya kudumu.
Ukichelewa unaweza kurudi kwenye bei ya kawaida.

Andika โ€œAIโ€ inbox au WhatsApp sasa hivi kuanza kujifunza.

Leo watu hawanunui bidhaa tuโ€ฆWananunua muonekano, ubora na namna unavyojitambulisha mtandaoni. ๐Ÿ”ฅROBY MEDIA tunakusaidia ...
22/05/2026

Leo watu hawanunui bidhaa tuโ€ฆ
Wananunua muonekano, ubora na namna unavyojitambulisha mtandaoni. ๐Ÿ”ฅ

ROBY MEDIA tunakusaidia kutengeneza maudhui yenye mvuto, yenye kiwango cha kisasa na yanayofanya brand yako ionekane tofauti.

๐ŸŽฌ Video Editing
๐ŸŽจ Graphics Design
๐Ÿ“ฑ Digital Marketing
๐Ÿ“ธ Photography & More

Ukichelewa, wengine wanaendelea kujenga audience yao kila siku. ๐Ÿš€

๐Ÿšจ UNA TALANTA, LAKINI BRAND YAKO ONLINE HAIJAKAA KITAALAMU?Wanamuziki wengi, content creators na wafanyabiashara online ...
22/05/2026

๐Ÿšจ UNA TALANTA, LAKINI BRAND YAKO ONLINE HAIJAKAA KITAALAMU?

Wanamuziki wengi, content creators na wafanyabiashara online wanapoteza wateja kwa sababu ya: โŒ Graphics zisizo na mvuto
โŒ Videos zisizo na ubora
โŒ Kutokujua kutumia tools za kisasa k**a CapCut Pro & Canva Pro
โŒ Kukosa branding nzuri kwenye pages zao

ROBYMEDIA DIGITAL HUB tunakusaidia kuinua brand yako kwa: โœ… CAPCUT PRO & CANVA PRO
โœ… Graphics Design za kisasa
โœ… Highlight Covers za Instagram
โœ… Ebooks za kuongeza maarifa
โœ… Script za content & biashara online

Brand yako ikikaa professional, watu wanaanza kukuamini zaidi na mauzo yanaongezeka. ๐Ÿ”ฅ

Ukitaka nikusaidie, niandikie DM.

โ€œAnko Zala, content yako iko level ya juu sana hadi kufikia MO si jambo la kawaida. Ni ngumu sana kupata nafasi ya aina ...
22/05/2026

โ€œAnko Zala, content yako iko level ya juu sana hadi kufikia MO si jambo la kawaida. Ni ngumu sana kupata nafasi ya aina hiyo, hasa ukizingatia kiwango cha content yenyewe na muda wa watu wakubwa wenye ratiba nzito.

Tajiri k**a MO hawezi kutoa muda wake kwa kila mtu akifanya hivyo, ujue ameona kitu cha kipekee ndani yako. Hapo kuna upendo, heshima, na kuthamini kazi yako.

Hii ni ishara kwamba juhudi zako zinaonekana na thamani yako inaanza kutambulika na watu sahihi. Endelea kusimama kwenye ubora, consistency, na maono yako. Mara nyingi Mungu huandaa milango kimya kimya kabla ya kuifungua rasmi mbele ya watu.

Wakati wa Mungu ndio wakati sahihi ukifika hakuna atakayezuia kile kilichoandikwa kuwa chako. Kinachotakiwa sasa ni subira, nidhamu, na kuendelea kuamini kipaji ulichopewa. Makubwa hayaji kwa kelele, huja kwa timing sahihi.โ€

๐Ÿ”ฅ ROBY MEDIA UPDATE ๐Ÿ”ฅKijana huyu mwenye muonekano wa kitoto ameibua mjadala mkubwa mtandaoni baada ya video na picha zak...
22/05/2026

๐Ÿ”ฅ ROBY MEDIA UPDATE ๐Ÿ”ฅ

Kijana huyu mwenye muonekano wa kitoto ameibua mjadala mkubwa mtandaoni baada ya video na picha zake kusambaa kwa kasi ๐Ÿ˜ฎ๐Ÿ”ฅ

Kauli yake iliyowagusa wengi: โ€œNzala hapo ulipo fikia una itaji mwenza na sio mwingine ni Mimi ๐Ÿ˜‰โ€

Wengi wameonyesha kuvutiwa na confidence yake huku wengine wakitoa maoni tofauti ๐Ÿ˜…๐Ÿ‘‡

Wewe unaonaje kuhusu hii trend? ๐Ÿค”

๐Ÿ“Œ Endelea kufuatilia ROBY MEDIA kwa updates zote za trending, burudani na habari kali za mitandaoni.

๐Ÿš€ HAUJUI AI TOOLS? BASI UNAPOTEZA PESA KILA SIKU!Teknolojia ya AI imebadilisha dunia ya biashara, content creation na ma...
22/05/2026

๐Ÿš€ HAUJUI AI TOOLS? BASI UNAPOTEZA PESA KILA SIKU!

Teknolojia ya AI imebadilisha dunia ya biashara, content creation na marketing! ๐Ÿ”ฅ
Sasa unaweza kutengeneza posters, videos, captions, ideas na kuongeza mauzo kwa muda mfupi zaidi kupitia AI tools.
ROBYMEDIA DIGITAL HUB tunakusaidia kujifunza kutumia AI kwa njia rahisi na ya kisasa. ๐Ÿ’ก
โœ… Kwa Wasanii
โœ… Kwa Wafanyabiashara
โœ… Kwa Content Creators
Usibaki nyuma wakati wengine wanaenda mbele kwa kutumia akili ya kidigitali! ๐Ÿค–๐Ÿ“ฒ
๐Ÿ“ž Wasiliana nasi:
0765 628 658
0650 728 658

๐ŸŽ™๏ธ๐Ÿ”ฅ COMING SOON โ€“ ROBY MEDIA SHOW ๐Ÿ”ฅ๐ŸŽ™๏ธJiandae kwa kipindi kipya chenye mahojiano ya kipekee, mijadala yenye maana, entert...
16/05/2026

๐ŸŽ™๏ธ๐Ÿ”ฅ COMING SOON โ€“ ROBY MEDIA SHOW ๐Ÿ”ฅ๐ŸŽ™๏ธ

Jiandae kwa kipindi kipya chenye mahojiano ya kipekee, mijadala yenye maana, entertainment updates, biashara, kilimo cha kisasa na digital shows zenye kuelimisha na kuburudisha. ๐Ÿ’ฏ

Kupitia ROBY MEDIA SHOW tutaleta: โœ… Mahojiano ya watu mbalimbali
โœ… Mijadala ya moto
โœ… Habari za entertainment
โœ… Fursa za biashara
โœ… Kilimo na maendeleo
โœ… Content za digital zenye impact

๐ŸŽค Real Content โ€ข Real Impact

Usikose kufollow kurasa zetu kwa updates zaidi na tarehe rasmi ya kuanza kipindi. ๐Ÿš€

๐Ÿ“ฒ Follow Us:
Instagram | TikTok | Facebook | YouTube ๐Ÿ‘‰ ROBY MEDIA

๐Ÿ“ž Contact/WhatsApp: 0765628658

Jifunze jinsi ya kutengeneza matangazo ya kisasa kwa kutumia AI na kuanza kupata wateja pamoja na kipato kupitia skills ...
15/05/2026

Jifunze jinsi ya kutengeneza matangazo ya kisasa kwa kutumia AI na kuanza kupata wateja pamoja na kipato kupitia skills za digital marketing na content creation.
๐Ÿ“Œ Ndani ya siku 2 tu utajifunza:
โœ… Kutengeneza AI Ads zenye kuvutia
โœ… Prompt & scripts zenye conversion kubwa
โœ… AI video editing + voice over
โœ… Mbinu za kupata wateja online
โœ… Editing ya kiwango cha juu
โœ… Siri za matangazo yanayouza sana
๐ŸŽฏ Course hii inafaa kwa:
โ€ข Content Creators
โ€ข Wafanyabiashara
โ€ข Social Media Managers
โ€ข Video Editors
โ€ข Wanaotaka kujifunza AI Marketing
๐Ÿ’ฐ Bei Maalum: TZS 19,999/=
โŒ Badala ya TZS 79,999/=
๐Ÿ“ฒ Jisajili sasa kupitia WhatsApp: 0765628658
๐ŸŒ Follow ROBY MEDIA
TikTok | Instagram | Facebook | YouTube ๐Ÿ‘‰ ROBY MEDIA

Address

Tanga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ROBY MEDIA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share