26/07/2018
SIMULI:MAPENZI YA KWELI
MTUNZI:DENNY MAPENZI
WHATSAPP:0622461725
SEHEMU YA PILI
"ni wakupoteza mda tu"
"awapi ester ukitaka ujue nini maana.ya mapenzi tukifika shule nitakwambia"
ENDELEA NAYO
"anna anna halikuwa ni ester akimwita kwa ajili tu ya anna amwambie nini maana ya mapenzi
"oooooh! sa hacha ni kwambie mtu yoyote ni lazima tu utapenda"
"ndiyo hayo tu"
"hapana yapo mengi ambayo yana usiana na mapenzi"
"basi kaa ukijua kuwa mimi siwezi nika badili msimamo wangu"
"lakini tuachane na hayo yote kuna mtu kanituma kuja kwako"
"nani tena shosti"
"si Denny kwan haumjui "
"na msikia tu"
"sa ameniambia ni kwambie kuwa anakupenda"
"ha!ha!ha!ha!ha! usini chekeshe best"kweli shosti
"basi hina takiwa ukamwambie kuwa me simpendi na simtaki"
"ester acha kuwa hivyo"kwani nimekuwaje
"ujue sio vizuri kwa unacho fanya hivyo"
"kamwambie kuwa aje yeye mwenyewe "haya bana nitamwambia basi".....******......******.......*****......*****
sasa leo ester hata jua kuwa na mimi ni mwanaume yani na mtuma rafiki yake anazingu sa ngoja nika kae kule kwenye njia ambayo anapenda kupita kila siku"nilikaa kwa mda k**a wa dakika hamsini hivi. ni kamwona ester akiwa anakuja kwenye hile njia ambayo nimekaa.halipo fika karibu nikamwita.
"ester ni subilie "
"we ni nani kwanza "
"me naitwa denny ambaye nilimtuma anna aje ku kwambia.kuaaaaaaa!
"siumalizie mbona una ng'ata meno"
"amna bana kila kitu kina enda taratibu
wala husijali nita kwambia kila kitu"
"eeeeeeeeeeh!"
"mbona huna shangaa"
"amna ninafuraha tu ya kuona kuwa "
"kwani kuna nini ester"
"nakupenda pia denny"
"kweli ester" ndiyo kwani hauja amini kuwa nakupenda piaa.
"basi asante kwa jibu lako zuri"
hila samahani ester naomba nikuhulize kitu..
"uliza na nitakupa jibu lake k**a na lijua"basi sawa hivi una simu
" ninayo ok namba zako basi mpenzi akamwandikia 0622461725 ndiyo hizo my basi poah"nita kucheki mida
basi sawa,mchana mwema my love ,na we pia. ester halipo fika nyumbani hata kabla aja vua nguo zake kwa ajili ya kubadilisha na kuvaa nguo za nyumbani,hali chukua simu yake aina ya tecno y4 na kuiwasha,na halipo hakikisha kuwa simu ime waka kabisa,mara ghafla halish*tushwa na sms hiliyo ingia na kusema.
"vip mpenzi umesha fika"
"ester alijiona kuwa wakipekee kwenye shule yao ambayo ina wanafunzi wengi wa.kike ambao wana mzidi ester uzuri, na ester bila ya kupoteza wakati aka mjibu
"nimesha fika my love".....******.......******.....
NINI KITAENDELEA KWENYE SEHEMU YETU YA TATU.KWENYE HII HADITHI YETU NZURI YA "MAPENZI YA KWELI"UNAWEZA KUNITAFUTA WHATSAPP KWA KUTUMIA NAMBA 0622461725.NA PIA NAPENDA KUTOA SHUKULANI ZANGU KWA WASOMAJI WOTE KWENYE HII PAGE YA DENNY MAPENZI.NANI WAOMBA NDUGU WASOMAJI MUE MNA TOA KOMENT ZA USHARI SIO, NICE,NZURI,PENDEZA HIZO HAZITAKIWI KWENYE HII PAGE.ASANTE SANA .tusubilieni sehemu yetu ya tatu ambayo hita itatuonesha jinsi gani denny na ester walipo fika kwenye penzi lao.na pia bila ya kuwa sahau rapha na paschal waki geto.jee ni ni kitaendelea.tusikose kwenye sehemu yetu ya tatu asante.