Africa Crest Media

Africa Crest Media Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Africa Crest Media, Digital creator, temeke, Temeke.
(6)

Msanii wa muziki wa bongo fleva Alikiba aliwa kwenye show Mwanza pale “eleventclub” ametuma salamu kwa wasanii wenzake k...
07/04/2026

Msanii wa muziki wa bongo fleva Alikiba aliwa kwenye show Mwanza pale “eleventclub” ametuma salamu kwa wasanii wenzake kuwa watatoa ngoma nyingi ilikushindana naye Ila yeye atatoa ngoma moja tu.

“Watatoa ngoma nyingine na nyingine, halafu mimi natoa nyingine, moja tu" Alisema -Alikiba

Mimi na Dudu Baya hatukuwahi kuwa Wapenzi, na mpaka Sasa hajui ladha yangu na hajawahi Kuonja Utamu Wangu, sisi tulikuwa...
07/04/2026

Mimi na Dudu Baya hatukuwahi kuwa Wapenzi, na mpaka Sasa hajui ladha yangu na hajawahi Kuonja Utamu Wangu, sisi tulikuwa tuna igiza tu ila sikujua kuwa mwenzangu katika Kuigiza kwetu alikuja akanipenda kweli.

Mimi nilikubali kukaa karibu yake Ili kumsaidia kukuza jina lake tu na si kingine.

🗣️ Wastara

Hatimaye ukweli umejulikana Sasa, tusubiri majibu ya Dudu Baya.

Jux alipo ulizwa watu walipo kuwa wakisema kuwa alikuwa hana uwezo wa kupata mtoto, jux amefunguka kuwa swala hili lilik...
07/04/2026

Jux alipo ulizwa watu walipo kuwa wakisema kuwa alikuwa hana uwezo wa kupata mtoto, jux amefunguka kuwa swala hili lilikuwa halimpi shida yoyote ile, hayo maneno alikuwa anayapuuzia hakuyapa muda hata kidogo

Jux anaeleza kuwa yeye alikuwa anajua kuwa anauwezo wa kupata mtoto, lakini kitu kilicho Mfanya yeye kuchelewa kupata mtoto ni kwamba jux alikuwa akitafuta muda sahihi na mtu sahihi

Miaka yote hiyo jux hakuwa amepata mtu sahihi wakupata nae mtoto hadi pale alipo kutana na Priscilla, Amefunguka jux alipo fanyiwa mahojiano na wasafi Tv

Huu mchongo wa Nikki upo kweli au ni hadithi za kuzusha ?K**a upo kweli ni funzo kwamba mwanamke wako sio wa kumsifia  m...
07/04/2026

Huu mchongo wa Nikki upo kweli au ni hadithi za kuzusha ?

K**a upo kweli ni funzo kwamba mwanamke wako sio wa kumsifia mbele za watu ...

Kula vyako ,ukiulizwa kuhusu mke wako ijibu jamii "ni siri za ndani hizo "..

Nakumbuka ilikuwa mwaka 2019 Nikki aliandika kupitia mitandao ya kijamii " k**a ningekuwa na utamaduni wa kuoa wake watatu au wanne basi ningefunga ndoa na mama zuri kwa mara nne "...

Alafu kumbe aliwahi kupigwa tukio la kulea kachalii sio kake 😃..

Tukio ambalo linashusha hadhi ya mama mtu na hawezi kutamani hata kumuoa mara moja tuache hiyo mara 4 ..

Ndio mzee ukimsifu mke wako mbele za watu ni mzigo unajibebesha ,siku moja litakuwa deni akizengua...

Usiwaamini sana,labda awe mama yako tu .

Rushine De Reuck anaendelea kuwa na msimu wa kwanza wa kipekee sana akiwa na Simba SC katika ligi kuu ya NBCPL msimu huu...
07/04/2026

Rushine De Reuck anaendelea kuwa na msimu wa kwanza wa kipekee sana akiwa na Simba SC katika ligi kuu ya NBCPL msimu huu.

Takwimu zake mpaka sasa:

Amecheza mechi 14
Amepata clean sheets 10
Amefunga mabao 3
Mchezaji Bora wa Mechi (MOTM) 3

Ni msimu wake wa kwanza ndani ya ligi ya NBCPL lakini tiyari amekuwa ni mhimili mkubwa katika uimara wa safu ya ulinzi ya Simba SC.

Top Top defender.🇿🇦🔥

06/04/2026

Tafadhali sema ukweli k**a umeoa

06/04/2026

Ila wanawake wenye roho mbaya daaaah 😭😭😭

06/04/2026

Nikajua ni vijana tu ndio wanateseka na mapenzi kumbe hata wazee 🤣🤣🤣🙌🙌

06/04/2026

🤣🤣🤣🤣

06/04/2026

Sijui alimfanya nini huyu X wake

06/04/2026

🤣🤣🤣🤣 kumbe huwa unakomaga

06/04/2026

Ila matumizi 🤣🤣🤣🤣

Address

Temeke
Temeke

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Africa Crest Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share