Made in itula

Made in itula Kuelimisha na utamaduni

siku moja mvua ilikuwa inanyesha sana abiria wakiwa kwenye gari huku safari inaendelea ila kila mara ladi ilipiga mbele ...
13/05/2026

siku moja mvua ilikuwa inanyesha sana abiria wakiwa kwenye gari huku safari inaendelea ila kila mara ladi ilipiga mbele ya gari abiria waliogopa sana huku dereva ajui cha kufanya kila akienda mbele ladi inapiga tena walifika sehemu kuna mti mkubwa dereva akasema kila mmoja wetu atakuwa anashuka na kwenda kushika mti ule na kurudi kwenye gari!
abiria walianza mmoja mmoja anashuka anashika mti na kurudi kwenye gari ilipofikia zamu ya bibi mmoja aligoma kushusha kwenye gari lile kuwa yeye huwaamini ushirikina na yeye sio mshirikina abiria pamoja na dereva walimtukana sana yule bibi kuwa ni mchawi anaroga gari walimsukuma yule bibi mpaka nje na kufunga milango ya gari wanafunga tu mlango gari likawaka moto kumbe lile gari muda mrefu lingewaka ila nguvu ya imani ya bibi yule ndo ilikuwa inazuia lile jambo lisitokee

karibu Tukuyu Mbeya Tanzania
13/05/2026

karibu Tukuyu Mbeya Tanzania

07/05/2026

Karibu kwetu tukuyu

07/05/2026

Address

SLP 581
Tukuyu
KILAJAMBOLINAWAKATIWAKEMUOMBEMUNGUWAKATIWAKOUTAFIKA���

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Made in itula posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Made in itula:

Share